- Well simple trick tangaza party yako tuone wadhamini mkuu, halafu subiri naenda Mbeya kesho party nimeiahirisha nikirudi naifanya uone wadhamini waliojitokeza ndio tofauti ya Celebrity na wewe layman, it has nothing to do na mzungu it is about being Big Celebrity mimi I am wewe sio ndio maana una maneno mengi ya kujiliwaza cause ungependa uwe lakini sio, unafikiri unaweza kuwa big Celebrity kwa kutukana watu JF na majina ya bandia? hahahahahahahhaa never ndio unaona jina langu linazungumzika kwenye jukwaa la Celebrity Forum
- au unasema hili ni jukwaa la kujua mzungu na muafrika ni nani? hahahahahahaha le mburulazzzzz jipange tena!!, hebu sema ikianzishwa thread inayokuhusu hapa utapata viewers wangapi? Eti mzungu so wewe ni mzungu? hahahahahahah tuliza boli hili ni jukwa ala Celebrity sio mzungu ok!! hahahah
Le Mutuz