Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
- Kabla ya kuhamia US nilikuwa nasoma Belgium ambako nilikuwa ninaishi mji wa Antwerpen niliposema Degree yangu ya kwanza ya Marine Engineering ambapo nilifanya kazi Melini kama Assistant Marine Engineer, then nikahamia New York City, nikasoma Degree ya Criminology na Political Science nikiwa ninaendesha Malori makubwa yenye Mataili 18 kazi ambayo ilikuwa ikinilipa mshahara mkubwa mpaka kuweza kujilipia College na kumaliza Degree 3,
- Kwani wewe sasa hivi unafanya kazi gani mkuu sana? hahahahahahahaha
Le Mutuz
Mbibi #FaizaFoxxy Le Mkareeeeez amekosea eti "Mataili" njooooooo fasta