Nakuru All Stars Yaichapa Simba mabao 5

Nakuru All Stars Yaichapa Simba mabao 5

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
Well
game over
Geza Ulole
Oya
MK254 cheki hawa wasee wanaji console eti oooh mara hyo ilikuwa Kikosi Cha B ....Mara Team A Iko kule misri ikijianda kwa mchuano na Misri well well well

What difference would it have made
Kenya Ranks 73 kwa Fifa Out of 193
Tanzania ranks 139 /193 [emoji23][emoji23]
1496816346545.png
1496816351388.png

What sport are you pple good at though??? Hamko popote hata!!

Eti "hyo ilikuwa kikosi b" as if ingemake difference [emoji23][emoji23]
 
Well
game over
Geza Ulole
Oya
MK254 cheki hawa wasee wanaji console eti oooh mara hyo ilikuwa Kikosi Cha B ....Mara Team A Iko kule misri ikijianda kwa mchuano na Misri well well well

What difference would it have made
Kenya Ranks 73 kwa Fifa Out of 193
Tanzania ranks 139 /193 [emoji23][emoji23]
View attachment 520565View attachment 520566

Forget ranking, ongea ukweli,
Tz football is worse, but Kenya football is Pathetic.
 
Naona hiyo mechi ingekuwa Kenya, basi hata hamna timu moja ya TZ ingefika semis, ilikuwa kheri tu kuiweka kule Dar wawe na Home ground Advantage! Lakini bado taaban! Daah!

Sportpesa isizoee kuleta hizi ligi kati ya Kenya na Tanzania, aibu hizi ndogondogo zaweza fanya wasusie kubet kabisa kisha Sportpesa ipate hasara

Wawe makini kabisa kwa hili
 
hehe aiseee, kwa mwendo huu ata mm nitafungua ka uzi ili tuzidi kusherekea haka kaushindi...chezea kumla mnyama kaf kaf [emoji2] [emoji2] ohoo
 
hawa footballers wanatoka flamingo,kimathi na kivumbini estate/chocolate city....muguka na kanamba kwa anush kwa wingi.....i know most of them personally
 
Mbona sisi tunaona jina lake la pombe

Lakini wenyewe si wabugiaji! Kwa hilo Pombe pia itapigwa marufuku Bongo! Nini anayewapa watoto majina kama haya kule Bongo? Si halali kabisa kuwa jina ni Pombe!

Ana bahati sio Mkenya, angekipata!!
 
Forget ranking, ongea ukweli,
Tz football is worse, but Kenya football is Pathetic.
Naona mate inageuka chumvi lakini meza tu kaka. Truth be said... there IS NOTHING you are good at except Bongo kulala
 
Well
game over
Geza Ulole
Oya
MK254 cheki hawa wasee wanaji console eti oooh mara hyo ilikuwa Kikosi Cha B ....Mara Team A Iko kule misri ikijianda kwa mchuano na Misri well well well

What difference would it have made
Kenya Ranks 73 kwa Fifa Out of 193
Tanzania ranks 139 /193 [emoji23][emoji23]
View attachment 520565View attachment 520566

What sport are you pple good at though??? Hamko popote hata!!

Eti "hyo ilikuwa kikosi b" as if ingemake difference [emoji23][emoji23]
Tano kwa Ngapi?
 
Naona hiyo mechi ingekuwa Kenya, basi hata hamna timu moja ya TZ ingefika semis, ilikuwa kheri tu kuiweka kule Dar wawe na Home ground Advantage! Lakini bado taaban! Daah!

Sportpesa isizoee kuleta hizi ligi kati ya Kenya na Tanzania, aibu hizi ndogondogo zaweza fanya wasusie kubet kabisa kisha Sportpesa ipate hasara

Wawe makini kabisa kwa hili
Mna mdomo sana nyie, ndio maana mnagongwa gongwa makofi na wake zenu
 
Na hii Simba ni timu ya hovyo sana. Utafungwaje na kidude cha uchochoroni huko?

Ngoja muone vile kesho Yanga atamfanya mtu kitu mbaya. Hatujui cha Goli Bandia wala singasinga. Kwanza Gor Mahia inasound more cricket than football
 
Back
Top Bottom