Nakuru Town vc Arusha city

Kwa majengo kenya mko vizuri sana ukilinganisha na kwetu huku bara, especially Nairobi. huku kwetu Dar na Mwanza atleast wanaipandisha hadhi nchi, haya ni maono yangu. Arusha bado wana migorofa ya zamani. Dodoma inakuja kwa kasi pia. baada ya miaka michache huko mbele huenda ikashika nafasi ya 3 kwa majengo mazuri na ukubwa wa mji baada ya Dar na Mwanza
 
Hehee, ila we jamaa bhana, ujue sio ww tu uliefika nakuru na arusha
 
Hawa Wakunya nawajulia! the Geneva of Africa haiwezi kupitwa na ka-town kanaitwa Nakuru!
Arusha is nothing compared to Nakuru, what's the GDP of Arusha? Are you aware that Nakuru has more factories than Arusha and Mwanza combined?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…