Ugomvi na malumbano ya kila siku ambayo yako extended mpaka nje ya mipaka yenu sio mazuri.. Kwakuwa licha ya kuhatarisha uhai wenu hakuna cha maana mtakaa mfanyeJe utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Sure1. Hao wakwe zako ni kama viongozi wa dini tu namanisha si kama viongozi wa kiroho.
-mtu yeyote katika maisha asiyekuwa na tabia ya upatanisho palipo ugomvi, hapo hakuna lolote achana naye.
2. Ndoa yenu haitakuwa na baraka kama tunaowategemea wapatanishe ndo wanakuwa ma gen z, achana naye
3. Mshukru MUNGU wa madhabahu yako, kakufunulia tapeli na jini la mahusiano. achana naye.
4. usipeleke laana kwenye familia, yako achana naye
5. siku usipompa hata matumizi hao ma gen z wanaojiita wakwe watatia timu kwako hautaamini.
6. tafuta mtu ambaye atafanyika kuwa baraka kwako, kwa watoto wako na familia yako.
7. ukilazimisha ipo siku utapata kesi ya jinai kwa kuwaumiza wakwe au huyo tapeli wako wa ndoa.
Ukiamua kumuacha ni maamuzi pia na ukiamua kumpenda ni maamuzi pia.Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Kwanza kabisa kumpenda sana mwanamke ni kosa.Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Watu!! ina maana hamuoni hii comment ya huyu mzee wetu toka maskle de mueda ilivyo na hekima nyingi! njoeni basi mu_like!.Ugomvi na malumbano ya kila siku ambayo yako extended mpaka nje ya mipaka yenu sio mazuri.. Kwakuwa licha ya kuhatarisha uhai wenu hakuna cha maana mtakaa mfanye
Jinsia yako kwanza ni me au ke?unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake?
Ushaelewa jinsia yake au na wewe umevamia mada?Kwanza kabisa kumpenda sana mwanamke ni kosa.
Inatakiwa yeye ndiye akupende wewe sana.
Huelewi wapi?
Nimemuuliza jinsia sababu km ni Mwanaume kweli hakuna mzazi anaweza kufanya hivyo kwa mtoto wa kiume mwenye mahusiano na binti yake ambae hajajitambulisha rasmi,Ukiamua kumuacha ni maamuzi pia na ukiamua kumpenda ni maamuzi pia.
Ila penda pesa yako zaidi
sema hujadadavua vizur.Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
Jinsia yake umeielewa vizuri lesbian huyosema hujadadavua vizur.
ni vitisho gan hvo kutoka kwa wazaz wake?
Kwama ukimuacha kitakuramba au wanakutisha uachane na bint yao?
My brother your love hostageJe, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??