Nakusanya mawazo kwenu wana familia

Kwahiyo hamuwezi kumaliza mambo yenu wenyewe?

Una uhakika kweli hao ni wazazi wake
Au anakuchezea mchezo huyo dada
Usikute ana simu nyingine huyo
Ndio anayotumia kukutishia

Pole sana na kila la kheri kwa Bebi wako
umemaliza kila kitu hapa, hii njia nishawah kuitumia kuachana na mdada fulan.
nilijichatisha na kumchatisha.
Alijua ni namba ya ex wife wang. Alinyosha mikono mdada bila kujua ilikua game
 
umemaliza kila kitu hapa, hii njia nishawah kuitumia kuachana na mdada fulan.
nilijichatisha na kumchatisha.
Alijua ni namba ya ex wife wang. Alinyosha mikono mdada bila kujua ilikua game
Kwa hio unataka kusemaje ajibu mashambulizi kwa namna nyingine si ndio? Unajua mimi aliponiletea pigo km hizo nilifanyaje? Nilikumbuka alinipa namba ya mdogo wake wa kike nikaruka nae kweli akajaa ilibakia kidogo tu ningemgonga km nilivyokua namgonga dada yake nikaachana na hio maana sikuona faida yake, tuishie hapo.
 
Ameweka familia yake mbele kama backup jambo ambalo siyo sahihi. Yaani, kila mkigombana badala myamalize wenyewe yeye anakimbilia kwanza kwenda kushare na wanafamilia wake. Huyo hana stamala ya kuwa mke. Ni nyumba ambayo juu ipo vzuri lakini chini msingi wake ni mbovu kabisa.
 
ndio!

Ungepita nae tu mkuu, ingekua umezaa na dada ake. Hapo ndo ingekua haina maana
 
Ulikua Mhuni lakini
yan yule mdada sikumpenda kwakwel nilijikuta namwoa tu.

Inshu ilikuja bdo nampenda ex mke wang.
Nilidirik kwenda hosptal kumhonga daktar pesa aniuzie kopo la vidonge vya ARV.
Nakuvitegesha ndani.

Asee mdada alilia nimemwalibia maisha, alisepa. Nikapumua ila Mungu anisamehe nilimtenda
 
Oya waliambiana mdogo mtu alimwambia dada yake unajua nini kilichofuata baada ya hapo? Km yalivyo Masharti ya Iran kwa Marekani mtu anataka mpaka apigwe chini ndio akae sawa
daah nadhan uliichapa kwelkwel ili upate msamaha
 
Hii nchi ina vyombo vya sheria ,mtu anakutisha katoe taarifa kwa vyombo vya sheria...
 
We noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…