Tanzania wani
Member
- Jul 26, 2022
- 6
- 4
Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!!
Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2%
Serikali wajibu wake ni kuhakikisha maji safi na salama popote nchi penye kijiji mpk jijini pana 99%ya maji safi na salama hili sio la kuweka kwenye kampeni ya uchaguzi au mbunge ahoji HAPANA na si swala la kisiasa NI KAZI YA SERIKALI KUTEKELEZA HILI NA KUFANIKISHA BILA SHURUTI
Eneo hili bado bado sana haririzishi 42%
Serikali jukumu lake ni kufikisha HUDUMA YA AFYA pahali popote nchini kuanzia kijiji mpk majiji upatikanaji wa haraka na wauhakika wa huduma na si la kisera ni jukumu lao kufanya na si la kisiasa
Eneo hili mnajitaidi 45.3%
Ulinzi na usalama SERIKALI inapaswa kuhakikisha huduma ya ulinzi na usalama inapatikana maeneo yooooote ya ngazi ya kijiji hadi majiji na mipaka na maeneo muhimu na nyeti!!usalama wa mali na raia na mambo mengine yanapatikana na sio kubembelezana ni wajibu wao haya ndio yanaofanya iitwe serikali!!
Eneo hili bado saaaana japo mnakuja na kupotea!!54%mnanuka 77% ya rushwa
MIUNDO MBINU YOOTE MAJINI NA ARIDHINI NA ANGANI ni jukumu la serikali kufanikisha uwepo wa miundo mbinu inayodumu na ya uhakika na inayofikika sio swala la kuombana ombana au kubembelezana au mpk siku ya kampeni uliweke kwenye kunaadi no ni lazima serikali iwezeshe hili 65%no comment
Serikali kazi yake ni kuhakikisha ELIMU bora na yenye viwango inawafikia wanachi popote nchini kwa ngazi yenye sifa kuwepo shule zote za sekondari,na msingi na maeneo mengine lazima vyuo viwepo kutoa elimu bora sio bora elimu ambayo iliexpire miaka ya kinjeketile lazima elimu iendane na kasi ya dunia au dunia inahitaji nini! Sio mashuleni kuwe ni sehemu ya kupotezea muda watoto!! Na hili sio ombi ni kazi na wajibu wa serikali kufanikisha na kuboresha na miundombinu yake!
Eneo hili nawapa 39%maana mnajengaga mashule yanayotoa elimuisiyo bora wala vitendea kazi na walimu wachache kazi hairidhishi!
UMEME (NISHATI)hili ni jambo la msingi saaaana ni damu ya nchi serikali inapaswa kuwa na kiwango kingi cha umeme na kukisambaza na kiifikie ngazi zote kijiji mpk mijini umeme ni damu umeme unahitajika kila pahali kurahisisha maisha ya kazi umeme ni lazima uwe wa bei ya chini kuliko gharama za kupiga simu kwa sekunde!!umeme ni uti wa mgongo wa taifa maanake kila shughuli inahitaji umeme na hili ni jukumu la seeikali halihitaji kupigiwa kelele au kuundiwa tume lazima lazima umeme uzagae kama majani
Eneo hili awamu ya 5 nawapa 87% ila ikashuka awamu ya 6 na kuwa 42.4%mmepotezana kiutendaji!

Upvote
0