Nakushauri Haji Mfikirwa Yanga wamekudhalilisha sana leo hebu onana na mzee Magori mpe siri zooote za ushirikina pale Kivukoni

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Ndugu Yangu mkurugenzi wa uhamasishaji umefukuzwa rasmi leo na hao wenye timu ambao wameifanya kuwa mali yao binafsi, kwanza walikusimamisha na Leo wameamua kukumwaga mazima.

Bahati nzuri umekaa ktk timu hiyo muda kidogo, ulianza na Dkt Msolla na kisha ukafanya kazi na huyo Cheki bob anajifanya mtoto wa mjini kumbe mshamba tu, mwenyewe anaona yale mabao 5 waliyotufunga kwa magumashi ametuweeeza, sasa nakuomba najua ulisimamishwq baada ya kupinga kuingiliwa katika majukumu yako, usikae kimya, watu watakuona wewe mchovu, huna nidhamu, hujui kazi na ndio maana umeondolewa, hiyo itakufanya kupata ajira sehemu nyingine zenye malisho ya kijani kuwa ngumu kwako, kwa vile wao wamekubandika kwenye mitandao leo na wewe fanya mambo mawili, jitokeze kama alivofanya yule ndugu yetu malaya ambaye anakwenda kuhiji halafu anarudi kufanya umalaya kila kukicha na hana haya ambaye alipofukuzwa kule unyamani akamwaga mboga na sasa anacheza vzr karata yake,

Kazi yake yeye kila gemu na mnyama anajua anachokifanya ili mkono uende kinywani na pili hebu tueleze kule kivukoni mambo gani ya hatari wanayofanya wenzetu maana kama wachezaji wazee wao wanaongoza, mudathiri, mkude, sure boy, pacome, skudu, moloko, max, Mwamnyeto wote umri umesogea hao lakn wanaonekana kama vijana dimbani, tueleze waganga wao wako wapi, kama mzungu pori wao alifichua siri za Simba wewe unashindwa, mwaga mboga kakaaaaaa.
 
Kwa hiyo unataka KUSEMA uchawi unawafanya hao wachezaji ulio wataja wawe na miaka 22 kwamba unarudisha umri nyuma na kuwa na nguvu zaidi??Umekuwa mpumbavu sana Dogo sikutegemea na hiyo degree yako Human resources!!
 
Am currently holding masters degree in Political Science and Public Administration and as of now am pursuing LL.B degree, what is your take?
 
Ndugu Yangu mkurugenzi wa uhamasishaji umefukuzwa rasmi leo na hao wenye timu ambao wameifanya kuwa mali yao binafsi, kwanza walikusimamisha na Leo wameamua kukumwaga mazima.

Bahati nzuri umekaa ktk timu hiyo muda kidogo, ulianza na Dkt Msolla na kisha ukafanya kazi na huyo Cheki bob anajifanya mtoto wa mjini kumbe mshamba tu, mwenyewe anaona yale mabao 5 waliyotufunga kwa magumashi ametuweeeza, sasa nakuomba najua ulisimamishwq baada ya kupinga kuingiliwa katika majukumu yako, usikae kimya, watu watakuona wewe mchovu, huna nidhamu, hujui kazi na ndio maana umeondolewa, hiyo itakufanya kupata ajira sehemu nyingine zenye malisho ya kijani kuwa ngumu kwako, kwa vile wao wamekubandika kwenye mitandao leo na wewe fanya mambo mawili, jitokeze kama alivofanya yule ndugu yetu malaya ambaye anakwenda kuhiji halafu anarudi kufanya umalaya kila kukicha na hana haya ambaye alipofukuzwa kule unyamani akamwaga mboga na sasa anacheza vzr karata yake,

Kazi yake yeye kila gemu na mnyama anajua anachokifanya ili mkono uende kinywani na pili hebu tueleze kule kivukoni mambo gani ya hatari wanayofanya wenzetu maana kama wachezaji wazee wao wanaongoza, mudathiri, mkude, sure boy, pacome, skudu, moloko, max, Mwamnyeto wote umri umesogea hao lakn wanaonekana kama vijana dimbani, tueleze waganga wao wako wapi, kama mzungu pori wao alifichua siri za Simba wewe unashindwa, mwaga mboga kakaaaaaa.
Yaani umenifanya nimkumbuke Waziri Mkuu mstaafu, mh. EDWARD LOWASA. Jamani ELIMU, ELIMU, ELIMU.
 
Am currently holding masters degree in Political Science and Public Administration and as of now am pursuing LL.B degree, what is your take?
Sasa kama umesoma uwezo wako upo hivyo, je usingesoma? Hivi mnaendaga shule kufanya nini nyie?
 
Ila Kuna vichwa viliwekwa sehemu isiyostahili, nadhani vingewekwa chini kule!
 
Back
Top Bottom