Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ndugu Yangu mkurugenzi wa uhamasishaji umefukuzwa rasmi leo na hao wenye timu ambao wameifanya kuwa mali yao binafsi, kwanza walikusimamisha na Leo wameamua kukumwaga mazima.
Bahati nzuri umekaa ktk timu hiyo muda kidogo, ulianza na Dkt Msolla na kisha ukafanya kazi na huyo Cheki bob anajifanya mtoto wa mjini kumbe mshamba tu, mwenyewe anaona yale mabao 5 waliyotufunga kwa magumashi ametuweeeza, sasa nakuomba najua ulisimamishwq baada ya kupinga kuingiliwa katika majukumu yako, usikae kimya, watu watakuona wewe mchovu, huna nidhamu, hujui kazi na ndio maana umeondolewa, hiyo itakufanya kupata ajira sehemu nyingine zenye malisho ya kijani kuwa ngumu kwako, kwa vile wao wamekubandika kwenye mitandao leo na wewe fanya mambo mawili, jitokeze kama alivofanya yule ndugu yetu malaya ambaye anakwenda kuhiji halafu anarudi kufanya umalaya kila kukicha na hana haya ambaye alipofukuzwa kule unyamani akamwaga mboga na sasa anacheza vzr karata yake,
Kazi yake yeye kila gemu na mnyama anajua anachokifanya ili mkono uende kinywani na pili hebu tueleze kule kivukoni mambo gani ya hatari wanayofanya wenzetu maana kama wachezaji wazee wao wanaongoza, mudathiri, mkude, sure boy, pacome, skudu, moloko, max, Mwamnyeto wote umri umesogea hao lakn wanaonekana kama vijana dimbani, tueleze waganga wao wako wapi, kama mzungu pori wao alifichua siri za Simba wewe unashindwa, mwaga mboga kakaaaaaa.