Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wenzio wanajua namna walivyo kuwa pata ushindi kwa Mgunda.Kocha Juma Mgunda Leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?
Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwa hao wachezaji unaota bossSimba kweli wamepania safari hii huko CAF. Hapo mmoja anajua vizuri mbinu za Vipers, mwingine anajua vizuri mbinu za Wamorocco. Msiojua kinachoendelea tulieni ackson.
Kwahiyo mishabiki ndakindaki unataka ibweke bweke kama Nyami, au Mbwa. Voice....... Luc EymaelKocha Juma Mgunda Leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?
Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Duh!...
Labda walitaka kocha mwenye uzoefu wa mashindano makubwa ya Cacl.Kwa kweli mimi ni mwana Simba sikuona sababu ya Simba kutafuta kocha mwingine kwa sasa huku Mgunda akiwa anafanya vizuri tena kati kati ya msimu.........
Bado tuna fikra za kipuuzi za Kuamini walimu weupe ndio wazuri.....hizi ni fikra mtu na fikra z kitumwa hasa kwenye zama hizi.,......
Itoshe kusema kuwa Simba tuna viongozi wajinga.....
Hata huyo mzoefu kuna sehemu alianza akavumiliwa na akaaminiwa mpaka akawa mzoefu......hata Mgunda angeaminiwa na kuvumiliwa angekuwa mzoefu.......Labda walitaka kocha mwenye uzoefu wa mashindano makubwa ya Cacl.
Wanataka watimize malengo ya nusu fainali kwanza, hayo ya Mgunda watafanya siku nyingine.Hata huyo mzoefu kuna sehemu alianza akavumiliwa na akaaminiwa mpaka akawa mzoefu......hata Mgunda angeaminiwa na kuvumiliwa angekuwa mzoefu.......
Hata mm kwa kwel sijapenda ila ngoja tuoneHata huyo mzoefu kuna sehemu alianza akavumiliwa na akaaminiwa mpaka akawa mzoefu......hata Mgunda angeaminiwa na kuvumiliwa angekuwa mzoefu.......
Sijaona shida hapo. Utofauti ni kwasababu wale camera men wa Azam huwa wako karibu sana makocha kwenye touchline.Mgunda Jana amenifurahisha sana. Amefanya Bonge la KOSA.
Alipiga Mlizi, akatoa sauti akaita Saido
Hao wako pungufu mnawaachaje wacheze.
1: Hapa ndipo nilipoamini kuwa Mgunda ni Muhamasishaji zaidi kuliko Coach.
2: Haoni kwamba kumuita Saido kwa sauti na kutoa Ile mbinu ni sawa na kumuonyesha adui silaha?
Kwanini asimwite Saido pembeni na kuongea nae kwa kimya kimya.
Mgunda mhhhhhhhh