Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kocha Juma Mgunda leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?
Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app