Nakushauri Juma Mgunda, waachie Simba timu yao kasake riziki mahali pengine

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kocha Juma Mgunda leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?

Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kocha Juma Mgunda Leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?

Wenzio wanajua namna walivyo kuwa pata ushindi kwa Mgunda.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Simba kweli wamepania safari hii huko CAF. Hapo mmoja anajua vizuri mbinu za Vipers, mwingine anajua vizuri mbinu za Wamorocco. Msiojua kinachoendelea tulieni ackson.
Kwa hao wachezaji unaota boss
 
Ukisikia ule msemo wa akufukuzae hakuambii toka, ndiyo huu sasa. Huyo Juma Mgunda amefukuzwa kistaarabu.

Na kwa bahati mbaya alikuwa anafanya kazi kama deiwaka, atafute tu sehemu nyingine ya kufanya kazi.
 
Chaguo la Robertinho.
Fm2KZnUXoAAURAG.jpeg.jpg

Mgunda anasogezwa pembeni kijanja, ajiongeze..
 
Ila si ndo mlitaka?? Kwamba hyu mbrazilinyo awe na mtu wake kuliko Juma na Matola?
 
Mgunda Jana amenifurahisha sana. Amefanya Bonge la KOSA.

Alipiga Mlizi, akatoa sauti akaita Saido
Hao wako pungufu mnawaachaje wacheze.

1: Hapa ndipo nilipoamini kuwa Mgunda ni Muhamasishaji zaidi kuliko Coach.

2: Haoni kwamba kumuita Saido kwa sauti na kutoa Ile mbinu ni sawa na kumuonyesha adui silaha?

Kwanini asimwite Saido pembeni na kuongea nae kwa kimya kimya.

Mgunda mhhhhhhhh
 
Kocha Juma Mgunda Leo ameletewa kocha mwingine msaidizi wa kocha mkuu Robertinho, hivyo anakuwa kocha msaidizi wa 2 badala ya mtunisia, hapo nionavyo mimi Simba wamemvunjia heshima Mgunda, kocha ambaye ameifikisha Simba hatua ya makundi, ameweza kuzishambulia baadhi ya timu kwa idadi kubwa ya magoli, Leo anaonekana lofa kweli?

Halafu mishabiki ndakindaki imekaa t, nawaambia ukweli hao makocha hawawezi kuifikisha popote Simba.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mishabiki ndakindaki unataka ibweke bweke kama Nyami, au Mbwa. Voice....... Luc Eymael
 
Kwa kweli mimi ni mwana Simba sikuona sababu ya Simba kutafuta kocha mwingine kwa sasa huku Mgunda akiwa anafanya vizuri tena kati kati ya msimu.........

Bado tuna fikra za kipuuzi za Kuamini walimu weupe ndio wazuri.....hizi ni fikra mtu na fikra z kitumwa hasa kwenye zama hizi.,......

Itoshe kusema kuwa Simba tuna viongozi wajinga.....
 
Labda walitaka kocha mwenye uzoefu wa mashindano makubwa ya Cacl.
 
Hata huyo mzoefu kuna sehemu alianza akavumiliwa na akaaminiwa mpaka akawa mzoefu......hata Mgunda angeaminiwa na kuvumiliwa angekuwa mzoefu.......
 
Mgunda Jana amenifurahisha sana. Amefanya Bonge la KOSA.

Alipiga Mlizi, akatoa sauti akaita Saido
Hao wako pungufu mnawaachaje wacheze.

1: Hapa ndipo nilipoamini kuwa Mgunda ni Muhamasishaji zaidi kuliko Coach.

2: Haoni kwamba kumuita Saido kwa sauti na kutoa Ile mbinu ni sawa na kumuonyesha adui silaha?

Kwanini asimwite Saido pembeni na kuongea nae kwa kimya kimya.

Mgunda mhhhhhhhh
Sijaona shida hapo. Utofauti ni kwasababu wale camera men wa Azam huwa wako karibu sana makocha kwenye touchline.
 
Back
Top Bottom