Nakusihi NILHAM RASHED


AD, ki umri kweli Mohameed labda kakua simjui vizuri, ila neno moja niseme kwa wote, including mm, HAKUNA ALIYEKUA KIMAPENZI
akasema basi mm najua mapenzi yoote, wote sisi ni WANAFUNZI WA MAPENZI, ndio maana, Nyerere, mandela, JF Kennedy, Newton Isaac, na hata Dr Slaa kipenzi chetu
are some brilliant and international statesmen, ILA MAPENZI YALIWASHINDA NA YALIWAKIMBIZA MCHAMCHAKA, unayajua
ya DIANA NA PRINCE CHARLES, mapenzi yaacha yalivyo, tunajifunza kila kukicha, ukipuuzia utakwenda na maji, whoever you are,
King Solomon alioa hadi wanawake 700 ila hakuridhika, hadi akazaa tena na Queen Sheba wa Ethiopia, imagine, kwa mapenzi hakuna MKUBWA, kiumri wapo wakubwa, ukipandwa na HAMU UNAKUWA SI WW TENA, nyege usicheze nazo,
utasema usiyoyajua, umenielewa AD, mweleze MIchelle, haya etc ni
 
Mohammed vp? mbona kimya ngoja nikimbie,naona umenyamaza, i did'n't stop you to date Nilham ila nimesema Kila la kheri,
be cautiousView attachment 21800see u
 


nimekuelewa fika my dear..
sawa mapenzi hayazeeki na mapenzi hayana umri...

hao wote uliowataja hapo ni watu tu kama sisi
na wanamapungufu yao..
wengine hapo waliangukia mambo ya mapenzi ajili ya publicity....

lakini uzuri wa mapenzi ni upofu hakuna ajuae nini kina kuja kesho..
kwa hiyo mimi siwezi simama hapa niakaangalia mfano wowote kati ya
hiyo uliyo nitumia..
sana sana ntaangalia weakness zangu na strength zangu juu ya swala hili la mapenzi..
na ntamtafuta mtu ambaye ana simila na zangu....
na bado tutatikiwa tu compromise so many things ...

kwa hiyo ikija kwenye swala la mapenzi kila mtu ni individual
na huwezi angalia mfano wa watu kama hao....

kama kua mtu yuko karibu yako na swala hili la mapenzi lika mwangusha basi..
u can learn from there mistake...

na hatuwezi kuacha ku date au vitu kama hivyo
kwa sababu tunaogopa..
kwani ku feli ndo mwanzo wa kujifunza my dear
 

tupo pamoja, Umri si kujua mapenzi
ila wote tunajifunza, na kuwa genius wa mambo makubwa still unaweza kuwa failure kwa mapenzi
Good job AD,
 
tupo pamoja, Umri si kujua mapenzi
ila wote tunajifunza, na kuwa genius wa mambo makubwa still unaweza kuwa failure kwa mapenzi
Good job AD,

afadhali hata tumekubaliana hahah lol
haya baba Raisi wewe lala salama
najua una kazi nzito ya kuongoza nchi kesho..
sweet dreams dear
 
khaly genekai ...
We dada Nilham nakuopmba tafadhali uamue moja kati ya Hashycool na Med manake hawachelewi kushikana mashati. Na unapoendelea kukaa kimya unazidi kuwa umiza hasa Shossi. Sema kitu watulie!
 
heheehehehehhe ,,,,h??!!!!:clap2::clap2::clap2:
 
. . . . i can see clearly now :coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…