Nakusihi NILHAM RASHED

Nakusihi NILHAM RASHED

Oooh da faineeeeeeeest :coffee:
 
Huyo ndo Comrade The Finest :clap2:
 
tell her man.....who am i going to talk to now.....l.o.l

Unajidai humtaki maovu mzushiaaa, kumbe unataharuki na mate kummezeaaaa wafanya kisebusebu na kiroho kipopapo - Michelle kama una full lyrics za kisebusebu by Mukrim mtundikie Hash.
 
CCM ndio Babaaaaa
CCM ndio Mamaaaa
CCM yajenga nchiiiii
Mapinduzi tuongozeeee
Kama siasa ni hatari basi chadema tumesafa mpaka leo tunapumua
Kama siasa ni hali afadhali leo dunia nzima inatujuaa
Chadema inapanda inapanda mlimaa
Ccm inashuka inashuka mazimaaa!
 
hapa kunaendelea nini? mbona mapost mengi halaf wachangiaji wanne tu?
 
My dia Michelle, honestly sijaipenda hiyo avatar coz it doesnt represent your cuteness like da first one.

Pls if possible try to look for another one
Ni wazo tu my dia, according to how i see it, u can accept or reject

Naepuka usumbufu kusema ukweli....yaani nilichoka na PM.....sasa hiyo nafikiri inajieleza kuwa i belong to someone.....sitaki kumtamanisha mtu,nimetulia na wangu sasa.......samahani CPU,picha inabadilishwa kutokana na reality kwenye maisha........:coffee::coffee:
 
damn it! nishamkosa na michelle! dah!
 
Naepuka usumbufu kusema ukweli....yaani nilichoka na PM.....sasa hiyo nafikiri inajieleza kuwa i belong to someone.....sitaki kumtamanisha mtu,nimetulia na wangu sasa.......samahani CPU,picha inabadilishwa kutokana na reality kwenye maisha........:coffee::coffee:
Dah JF vituko haviishi watu bado wanafall in love na avatar! Lol
 
Back
Top Bottom