Nakusisitiza kabla haujasoma hiki ninachoenda kukiandika hapa, penda unachokifanya.

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Dunia ya leo haitaki tena degree ya kawaida.

Inataka degree yenye technology ndani yake.

Kwa mfano kama mwanao anapenda Civil Engineering, kwanini asisome Civil Engineering Integrated with Artificial Intelligence and Machine Learning?

Kama anapenda biashara, kwanini asisome BBA Fintech and Artificial Intelligence badala ya BBA ya kawaida?

Kama anapenda Computer Science, kwanini asisome Cyber Security, Data Science au Artificial Intelligence ambazo ndizo zinazoajiriwa kwa kasi duniani?

Tatizo kubwa si kupata degree.

Tatizo ni kupata degree ambayo itakuwa na thamani miaka 10 ijayo.

Wazazi wengi wanatumia mamilioni kusomesha watoto wao lakini hawajiulizi kama kozi wanayosomesha bado itakuwa relevant baada ya graduation.

Matokeo yake tunazalisha wahitimu wengi lakini waajiri wanatafuta skills tofauti kabisa.

Hapo ndipo mwanafunzi anakuwa yatima wa maarifa.

Ana degree mkononi lakini dunia imehamia sehemu nyingine.

Copied & Delivered
 
Degree bongo watu wengi (Sio wote) wanasoma kwa matumaini tuu. Anasoma hajui kitakachotokea huko huko mbele ya safari, ili mradi amemaliza na ana "gamba" lake.
Anasoma kulingana na alivyofaulu au kufuata mkumbo. Hajui skills anazosoma aatazitumia wapi na kivipi. Akiingia sokoni anakuwa "desperate", hawezi kuajiriwa wala kujiajiri na kile alichokisoma.
 
Yes,
Tuwafindishe watoto wetu kwa nadharia na vitendo kadiri ya vipaji vyao, lakini pia kulingana na ndoto na hobi zao, ili hatimae warithi elimu ya nadharia na vitendo inayohimili hali ya maisha ya sasa na ushindani katika soko la ajira, sayansi na teknilojia.

Tuepuke masuala ya kanyaga twende bora liende 🐒
 
Artificial Intelligence ni App kama Apps nyingine na ziko very user friendly! ... NI VITU MTU ANAWEZA KUJIFUNZIA KAZINI KAMA MATUMIZI MENGINE YA COMPUTA!
NB: TEKNOLOJIA ITATUKIMBIZA MBIO SANA!
1782013822650.png
... Mafisadi wasiitumie AI kama kigezo cha kuchuja watu kwenye ajira serikalini!
 
Degree bongo watu wengi (Sio wote) wanasoma kwa matumaini tuu. Anasoma hajui kitakachotokea huko huko mbele ya safari, ili mradi amemaliza na ana "gamba" lake.
Anasoma kulingana na alivyofaulu au kufuata mkumbo. Hajui skills anazosoma aatazitumia wapi na kivipi. Akiingia sokoni anakuwa "desperate", hawezi kuajiriwa wala kujiajiri na kile alichokisoma.
Hii ni kweli mkuu ila sasa vijana inabidi waamke watambue kwamba dunia imeshapiga hatua inatembea mbele
 
Back
Top Bottom