- Thread starter
- #21
Wataenda kutuelezea mahakamani wapi wanachanganyikiwa.Cha kushangaza utumishi wanatambua ATEC II ni sawa na diploma na hawana tatizo kabisa.inapofika kwenye Intermidiate sijui wana changanyikiwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataenda kutuelezea mahakamani wapi wanachanganyikiwa.Cha kushangaza utumishi wanatambua ATEC II ni sawa na diploma na hawana tatizo kabisa.inapofika kwenye Intermidiate sijui wana changanyikiwa nini?
Acha kuongea kwa kukaririshwa.Kuna:-
We unakosa academic qualification
- Academic qualification
- Professional qualification
Kama una muda wa kupoteza na hela, pambana nao. Ila kwa ushauri wangu, nenda katafute 'degree'
Serikali moja lakini taasisi zake hazielewani.Kila kitu nchi hii kimekaa kimchongo mchongo tu. Hizo degree zenyewe sasa.... Takataka tupu.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli, asipoteze mudaAcha kuongea kwa kukaririshwa. Unaongea tu kwa sababu hizo terminology umezisikia mahali. Lazima uelewe unaposema professional qualification kuna nini ndani yake. Labda kwa kukusaidia tu professional qualification ndani yake kuna hiyo academic qualification. Kwa lugha nyepesi ni kwamba professionals wana uelewa mpana kuliko hao wenye academic qualification.
Subiri tuone mkuu.Unazungumzia hizi mahakama ambazo jaji mkuu ametamka wazi kuwa zinatakiwa kufuata upepo wa serikali katika kuamua kesi?
Unaijua CPA au unaisikia?Huo ndio ukweli, asipoteze muda
Inatolewa na chuo kikuu kipi?Unaijua CPA au unaisikia?
Hapa napoteza muda wangu bure.Inatolewa na chuo kikuu kipi?
Watu wa cpa mna mbwembwe sana, punguza munkali sikiliza watu.Unaijua CPA au unaisikia?
Nchi Gani hawasomi kuajiriwa?Hili ndio tatizo la mfumo wa elimu Tz. Kila mhitimu lengo lake la kwanza ni kuajiriwa.
Mfumo wa Elimu haumwandai mhitimu kuweza kujitegemea.
Acha kuongea kitu usichokijua. Huko chuoni kuna kipi ambacho mwenye cpa hajakisoma?Siyo wew peke ako hata hao waliosoma banking and finance nao wanalalamika sna kuhusu Hilo
Ila pia nimekuja kuona umuhimu wa kusoma aise degree mnk nilikuja kukutana na vijaana waliona CPA billa kuwa na degree nilichogundua ni kwmab jama bado hawako kiprofessinal Zaid unamkuta mtu ajui hata kuandiaka ripoti kusite kitabu kureference kitabu hawajui
Nilikutana nao wakt nasoma post graduate
Ndio nikagundua jamaa hawajui vitu Zaid ya ile CPA tu ila research methodology hajui kbsa ,kuandiaka assignments tabu tupu alfu Ni wabishi sna mpk leo hawajalamba ajira za maana kwa vile Hana cheti
Inakuaje mtu uanfeli fom 4 then unakuja una unaunga unga huko mtaani alfu gafla wew Ni muasibu bila kuwa na credentials zinazotakiwa kuwa muasibu
Degree Ni muhimu sna then soma CPA Yako na muache kuringa huku unajita CPA t huku huwezi chambua hoja na ku analysis vitu ki professional wise
Nchi ina shida sana, tumekaririshwa vitu vingi ambavyo hatuvielewi.Cha kushangaza utumishi wanatambua ATEC II ni sawa na diploma na hawana tatizo kabisa.inapofika kwenye Intermidiate sijui wana changanyikiwa nini?
Mambo ya kusikitisha sana. Hii inchi ni ngumu sana.Nchi ina shida sana, tumekaririshwa vitu vingi ambavyo hatuvielewi.
Mifumo ya elimu imekaa kwa kukomoana bila tija yoyote, bora ingekuwa tunakomoana kwenye elimu alafu mwisho wa siku tunaiona faida yake... Lakini hamna faida yoyote!
Mkuu wewe waburuze tu...Kama ilivyo kwa mataifa mengine duniani, Tanzania pia ilianzisha chombo cha kusimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni Taasisi inayosajili na kusimamia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu na kudhibiti taaluma ya Uhasibu nchini.