Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa watu wa CPA bhanaa
Kasome degree bro, CPA ni Professional Qualification kuna wazembe kibao tu nawajua wana CPA na wanambwela tu sababu hawana degree.
Hamna chuo kinatoa CPA, so bila degree ni nothing, halafu acheni mbwembwe na CPA zenu huku field mambo ni tofauti
Mwasibu bila CPA ni data clerk ,degree muhimu CPA lazima , angalia hili neno "certified Public Accountant "kama hauna hii kitu kasome acha ujinga .Hahahaa watu wa CPA bhanaa
Kasome degree bro, CPA ni Professional Qualification kuna wazembe kibao tu nawajua wana CPA na wanambwela tu sababu hawana degree.
Hamna chuo kinatoa CPA, so bila degree ni nothing, halafu acheni mbwembwe na CPA zenu huku field mambo ni tofauti sana.
hayo ndio mazaga zagaUna hoja ya Msingi sana. Kuna haja ya Professional Bodies kukaa pamoja na Serikali kuoanisha Qualifications wanazozitoa na Mfumo wa Elimu unatambulika na serikali.
Kuna kesi iliwahi kutokea kwenye Taasisi moja Jamaa alikuwa na diploma akafanya mitihani ya Bodi akapata CPA. Alipomaliza akaomba kusoma Post graduate kwa kutumia CPA akapata na kumaliza.
Aliporudi kwa mwajiri kumuonesha cheti cha Post graduate ili abadlishiwe muundo wakamkatalia kwa kuwa hana cheti cha degree.
Swali likawa Chuo kilimruhusi vipi asome Post graduate kama hakuwa na sifa?
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Fuata ushauri wa huyu mtu... usipoteze muda wako kufungulia serikali mashitaka... utapoteza wewe... ulishaona wapi haki ikipatikana Tanzania?Kuna:-
We unakosa academic qualification
- Academic qualification
- Professional qualification
Kama una muda wa kupoteza na hela, pambana nao. Ila kwa ushauri wangu, nenda katafute 'degree'
CPA zenyewe hizi wanafaulu kwa kupata C C... Hata mimi nikikomaa zile C siwez kosa... degree ni kitu muhimu wewe mara mia ya hiyo cpaSiyo wew peke ako hata hao waliosoma banking and finance nao wanalalamika sna kuhusu Hilo
Ila pia nimekuja kuona umuhimu wa kusoma aise degree mnk nilikuja kukutana na vijaana waliona CPA billa kuwa na degree nilichogundua ni kwmab jama bado hawako kiprofessinal Zaid unamkuta mtu ajui hata kuandiaka ripoti kusite kitabu kureference kitabu hawajui
Nilikutana nao wakt nasoma post graduate
Ndio nikagundua jamaa hawajui vitu Zaid ya ile CPA tu ila research methodology hajui kbsa ,kuandiaka assignments tabu tupu alfu Ni wabishi sna mpk leo hawajalamba ajira za maana kwa vile Hana cheti
Inakuaje mtu uanfeli fom 4 then unakuja una unaunga unga huko mtaani alfu gafla wew Ni muasibu bila kuwa na credentials zinazotakiwa kuwa muasibu
Degree Ni muhimu sna then soma CPA Yako na muache kuringa huku unajita CPA t huku huwezi chambua hoja na ku analysis vitu ki professional wise