Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

Hizo hela na muda wa kupoteza ungeinvest kwenye business ungeonekaana mjanja sana
 
Hahahaa watu wa CPA bhanaa

Kasome degree bro, CPA ni Professional Qualification kuna wazembe kibao tu nawajua wana CPA na wanambwela tu sababu hawana degree.

Hamna chuo kinatoa CPA, so bila degree ni nothing, halafu acheni mbwembwe na CPA zenu huku field mambo ni tofauti sana.
 

Mwasibu bila CPA ni data clerk ,degree muhimu CPA lazima , angalia hili neno "certified Public Accountant "kama hauna hii kitu kasome acha ujinga .
 
hayo ndio mazaga zaga
 
Kuna:-
  • Academic qualification
  • Professional qualification
We unakosa academic qualification

Kama una muda wa kupoteza na hela, pambana nao. Ila kwa ushauri wangu, nenda katafute 'degree'
Fuata ushauri wa huyu mtu... usipoteze muda wako kufungulia serikali mashitaka... utapoteza wewe... ulishaona wapi haki ikipatikana Tanzania?
 
CPA zenyewe hizi wanafaulu kwa kupata C C... Hata mimi nikikomaa zile C siwez kosa... degree ni kitu muhimu wewe mara mia ya hiyo cpa
 
Ili ujue kuna tatizo la mfumo wa CPA na mfumo mwingine wa elimu, jiulize

1. Je ukiwa na CPA tu bila degree, unaweza kudahiliwa kwenye masomo ya juu, utaanza kusoma masters degree ama post graduate diploma?

2. Kwa nini uanzie Post graduate diploma badala ya kwenda Masters degree moja kwa moja sawa na ambao wana degree na CPA ama wana degree tu bila CPA?

3. Kama utaanzia Post graduate diploma na kisha usome tena Masters degree basi ujue huo mfumo una mapungufu.

4. Nchi kama Marekani, CPA huwezi kufanya kijanja janja kama huku kwetu, lazima uwe na elimu sawa na Masters degree ya hapa kwetu ndio ufanye CPA.

5. Kasome degree acha short cuts, kua na degree bila CPA kunakuweka kwenye nafasi nzuri na fursa nyingi zaidi za maisha kuliko kua na CPA peke yake.

Ahsante..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…