Sema yako wewe sio mama yetu, fisadi hawezi kuwa mama wa woteSerikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Shida au tatizo limeanza Jana , au miaka miwili iliyopitaSerikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Wameweka target ya muda ambao wanajua mvuna ziataazav huu ⁷ kmKilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
na bosi waoUongozi bora ni jambo muhimu sana huwezi amini watu wawili january na maharage wametengeneza tatizo linaloumiza nchi nzima
TAKUKURU?TRA
TANESCO
UHAMIAJI
hizi sekta tatu sijatokea kuzikubali
Yataanzia wapi ili wadau wajue?!!!Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utangulize mke wako mbele
[emoji2956][emoji2956]Maandamano hayawezi kuleta umeme,
Hakika [emoji106]Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Wewe hiyo miezi 6 hujaisikia ?!!Pole mkuu......hapa unaongea na WAFU.
Hawasikii wala hawahisi maumivu yoyote!
[emoji2956][emoji2956]Unaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza
Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
Uoga katika lipi hasa ?!!Nchi imejaa watu unconscious na waoga!!!
Labda waambie waandamane kumsifu mama kwakauli ya miezi sita hautokatika Teena!!!
Hakika [emoji106]Sehemu gani huko mna mgao? Geita na shinyanga yapata wiki sasa hatujakatiwa umeme hata dakika moja!!
Mitambo chakavu unawalaumu viongozi ?!!Haiwezekani tuwe na viongozi alafu watuambie hawakufanya service hilo sio jukumu letu sie jukumu letu ni kulipa Kodi serikali itupe umeme
UmekaririHii ni mentality ya mkimbiza mwenge!!
Geita na Shinyanga hakuna mgao...Wewe sio muuza jenereta kweli?
Hata wasipolala kabisaa ndio mitambo haichakai ?!!! [emoji15][emoji15]Hatukuwatuma viongozi kulala usingizi huku wakiwa na mipango mibovu ya kuhakikisha umeme upo ni jukumu lao KULETA umeme
Sawa utaletewa MWEZI WA 3....Siwezi kuwa mpole wakati biashara yangu inakufa lete umeme nataka umeme