Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Sema yako wewe sio mama yetu, fisadi hawezi kuwa mama wa wote
 
Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole

Inasikitisaha sana,,,wawe wapole ingekua wewe ungeweza mkuu au kwakua upo ofisin una jenereta,,,,kuna watu wamejiajiri biashara zao zinakufa sasa zinahitaji umeme ili walipe kodi,mikopo, vikoba, wale,wapeleke watoto shule etc wanaouza juice za miwa,saluni machine kusaga vitu, wanauza movie etc
 
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.

Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!

Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.

Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.

Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Yataanzia wapi ili wadau wajue?!!!
 
Unaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza

Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
[emoji2956][emoji2956]
 
Nchi imejaa watu unconscious na waoga!!!
Labda waambie waandamane kumsifu mama kwakauli ya miezi sita hautokatika Teena!!!
Uoga katika lipi hasa ?!!

Wewe "conscious" utayaanzia wapi hayo maandamano tuje tukuunge mkono jasiri wetu ?!!!
 
Haiwezekani tuwe na viongozi alafu watuambie hawakufanya service hilo sio jukumu letu sie jukumu letu ni kulipa Kodi serikali itupe umeme
Mitambo chakavu unawalaumu viongozi ?!!

Waliichakaza wao ama matumizi yako ndiyo yaliyoichakaza ?!!

Hapo nyumbani kwako hakuna vitu chakavu ?!!

Huwa una bajeti ya kununua vipya kila uchao ?!!!

Kama sivyo basi ujue hiyo serikali si malaika....

Baaambaaash
 
Back
Top Bottom