Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Tena sintasubiri polisi waje wakuchape kipigo cha mbwa koko, mi mwenyewe nayasubiri hayo maandamano nikunyee mavi kichwani, yaani nakupiga sana baada ya hapo nakukojolea na kukunyea! Jitu zima halina akili. Umeshaambiwa mgao umesababishwa na ukame linaleta hoja za kitoto
 
Sasa kama Magufuli hakufanya service unataka wafanyeje, mlisema Januari na Maharage ndio shida kaondolewa. Mama kaleta Biteko akiwa na kofia ya naibu waziri mkuu juu mnalalamika. Mnataka nini?
 
Huna haja kutukana matusi rumia akili zako kwa haki ukame mwezi September!?
Ukame? Au matengenezo ya mitambo?
Lakini ni hiyohiyo serikali ya ccm ilishatuambia Kuna watu wanatafutaga visingizio vyote vyote wakitaka kukata umeme.
Tusitishane kama wewe ni mnufaika wa huu mgawo kwa namna yoyote unahitaji kudeclare interest kuliko kuporomosha matusi hapa.
Wananchi tunaumia tunataka umeme, maisha yetu yanaumia
 
Dawa pekee ya kuondoa haya matatizo na kero mbali mbali za kimaisha ni KUOKATAA CCM
 
Uongozi bora ni jambo muhimu sana huwezi amini watu wawili january na maharage wametengeneza tatizo linaloumiza nchi nzima
Kama kutakuwa na uwezekano naomba kuutafuta uzi wangu kuhusu Makamba.

Nilisema kabisa kuwa huyu mtu ni mpigaji mkubwa sana.

Aliingia akakuta tunapata umeme angalu kwa unafuu fulani.

Alivyoingia tu akaingiza mifumo yake ya kijanja janja ili apate nafasi ya kupjipigia.
 
Huo ni uzushi tu, tanesco sio kama duka la stationery
 
Kwa namna moja au nyingine naweza kukubaliana na mleta mada kuwa ni service ya kutengenezwa, kuservice mitambo unadhani ni jambo ghafla hivyo? Ni lazima kama nchi ijipange, je uliwahi kusikia kuwa miezi 3 ijayo au 4 itafanyika service ya mitambo kwahiyo wananchi tutarajie yanayotokea leo?.
 
Hawa watu ni wababaishaji, haiwezekani jambo kubwa hivyo usijue linaanza lini na kuisha lini.
 
Vyama vya upinzani na NGOs na wana harakati watafute wafadhili huko Duniani wazunguuke nchi mzima hadi vijijini interior watoe elimu ya uraia ili kufanya awareness na kuwatoa ujinga na woga ambao ni Mtaji wa wengine.
 
Una point ya msingi! Swali langu kwako, Kwanini Maharage Chande kaondolewa na kuwekwa mtu mwingine? Kama issue ni maintenance na si utendaji kazi mbovu, kwanini bwana Maharage asingeendelea kuwa Mkurugenzi???
 
Hiyo mikopo chungu nzima waliokopa ya billions sijui trillions Kwanini wasitumie kwenye kuhakikisha huduma ya Umeme inapatikana nchini?
 
Hili ttz la mgao lilikuwepo enzi za Magufuli?
Naam mwaka 2017 fanya marejeo utaona Ulikuwepo tena mbaya kuliko wa sasa ila uhuru wa kuongea wazi haukuwepo. Kulikuwepo na mgao wa umeme na Habari!
 
Jaribu kuandamana uone tutakung'oa hayo makalio
 
Jaribu kuandamana uone tutakung'oa hayo makalio



Mnataka kufanya kinyume na matakwa ya Katiba?

Viongozi huwa wanaapa kwa kushika vitabu vitakatifu kuwa wataifuata Katiba wewe unatushia wananchi kuwadhuru kwa kufanya jambo ambalo Katiba imewaruhusu???
 
Ni afadhali umuelimishe mwananchi kwa adabu iwapo unaona uko na hoja ya msingi Kwa jambo badala ya kumtishia maisha.

Kutishia hakuwjawahi saidia. Huwa ni kwa kitambo kidogo tu kisha atachoka.

Hata kwenye malezi ya watoto wale wa geti kali na vitisho huwa wanaharibikiwa Pia tena vibaya sana.

Viongozi wapo kwa ridhaa ya wananchi kupitia Katiba.
Wote tunawajibika kuiheshimu na kuifuata na sio kujaribu kutishia.
 
Kuwa kiongozi au dhamana ya dola haina maana wewe una uelewa wa mambo kuliko mwananchi unaemuongoza.

Ni kwamba tu hatuwezi wote kuwa Viongozi kwa wakati mmoja ,
Ndipo tukaweka utaratibu kwa kutoa ridhaa kupitia Katiba.

Kwa hiyo unaanzaje kutishia mwananchi?
Ambae kimsingi ndiye Mwajiri wako?!
 
Sio Mikoa yote Kuna mgao ,elewa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…