Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Serikali inatokana na nini?Unafiki ni mbaya kuliko Mgao wa Umeme.
tatizo la Umeme ni Serikali sio mtu au watu.
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inatokana na nini?Unafiki ni mbaya kuliko Mgao wa Umeme.
tatizo la Umeme ni Serikali sio mtu au watu.
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Tena sintasubiri polisi waje wakuchape kipigo cha mbwa koko, mi mwenyewe nayasubiri hayo maandamano nikunyee mavi kichwani, yaani nakupiga sana baada ya hapo nakukojolea na kukunyea! Jitu zima halina akili. Umeshaambiwa mgao umesababishwa na ukame linaleta hoja za kitotoJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Sasa kama Magufuli hakufanya service unataka wafanyeje, mlisema Januari na Maharage ndio shida kaondolewa. Mama kaleta Biteko akiwa na kofia ya naibu waziri mkuu juu mnalalamika. Mnataka nini?Wezi wanajipanga sana.
Wana machawa Kila Sehemu.
Hii nchi bila Watu wema kusimama na kuwakataa Watu waovu kukalia ofisi za umma hakutakua na mabadiliko kamwe.
Hawa Watu ni Watu waovu na Katili kamwe hawaguswi na shida za Watu zaidi ya kutumia ujanja kupata madaraka na kuzidi kukwapua Mali za umma.
Ukiangalia Kila wizara inawaza kutengeneza miradi ya Kupiga pesa.
Mali asili kazi Yao ni kuuza Vitalu Kwa Wageni.
Nishati wanacheza na akili za Watu kama vile Umeme unategemea kudra za Mungu Badala ya akili za binadamu wenye dhamana. Tunategemea Umeme Wa Maji Wakati walitupiga Kwenye gesi na Hata wakaua Watu kule Mtwara.
Leo Watu wale wale wanatudanganya na kukwapua matrilion ya pesa Kwa kisingizio cha KUFANYA service Wakati Umeme wa grid ya Taifa Tangu Mwalimu una nguzo za chuma na hatujawahi kuuona wakizibadilisha.
Haiwezekani service ifanyike Kwa Wakati mmoja Kwa kisingizio cha kipindi Cha MAGUFULI eti hapakua na service.
Ina Maana Tanzania pekee ndio kunafanyiwa service na Sio Uganda au Zambia ??
Kukata Umeme ni njia nyingine ya Wahuni kuhujumu pato la nchi halafu Wakuu Wa nchi wanawachekea wahujumu uchumi.
Watu wananunua Umeme na kulipia Kodi na biashara nyingine nyingi leo Wahuni wanakata Umeme Ili watu wasinunue luku na Shirika kukosa mapato na Kodi ya Umeme na Tozo nyinginezo.
2025 watanganyika tusiendelee na Hali hii. Kule bara la Asia Nchi mbili Tofauti Kutawaliwa na Marais wanaotokea nchi moja inafikisisha sana.Ni kama uvamizi Wa nchi nyingine.
Huna haja kutukana matusi rumia akili zako kwa haki ukame mwezi September!?Tena sintasubiri polisi waje wakuchape kipigo cha mbwa koko, mi mwenyewe nayasubiri hayo maandamano nikunyee mavi kichwani, yaani nakupiga sana baada ya hapo nakukojolea na kukunyea! Jitu zima halina akili. Umeshaambiwa mgao umesababishwa na ukame linaleta hoja za kitoto
Dawa pekee ya kuondoa haya matatizo na kero mbali mbali za kimaisha ni KUOKATAA CCMJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Kama kutakuwa na uwezekano naomba kuutafuta uzi wangu kuhusu Makamba.Uongozi bora ni jambo muhimu sana huwezi amini watu wawili january na maharage wametengeneza tatizo linaloumiza nchi nzima
Huo ni uzushi tu, tanesco sio kama duka la stationeryKama kutakuwa na uwezekano naomba kuutafuta uzi wangu kuhusu Makamba.
Nilisema kabisa kuwa huyu mtu ni mpigaji mkubwa sana.
Aliingia akakuta tunapata umeme angalu kwa unafuu fulani.
Alivyoingia tu akaingiza mifumo yake ya kijanja janja ili apate nafasi ya kupjipigia.
Kwa namna moja au nyingine naweza kukubaliana na mleta mada kuwa ni service ya kutengenezwa, kuservice mitambo unadhani ni jambo ghafla hivyo? Ni lazima kama nchi ijipange, je uliwahi kusikia kuwa miezi 3 ijayo au 4 itafanyika service ya mitambo kwahiyo wananchi tutarajie yanayotokea leo?.Walipokuwa wanafanya service ikawa inawalazimu kuzima baadhi ya mitambo ili kuifanyia service wananchi tukalalamika sababu ilipelekea umeme kupungua baada ya uzimwaji wa hizo mashine, tukapata kiongozi mmoja anaecheza na jukwaa akaamuru hakuna kufanya service ili umeme usikatike na ikawa hivyo.
Sasa mitambo bila service nadhani hata wewe unajua kinachoenda kutokea. Imeharibika zaidi na inataka service kubwa zaidi bahati mbaya kiongozi wa sasa haamini kwenye kucheza na majukwaa kaamua kuruhusu service kunusuru mitambo ni lazima kuwe na upungufu wa umeme.
Tatizo la kimsingi ni kuwa tunazalisha umeme mdogo kuliko matumizi yetu na bahati mbaya yanaongezeka kila siku. Ingalikuwa tuna vyanzo vingi vya kuzalisha umeme basi hata kuzimwa kwa mtambo mmoja au 2 ili ifanyiwe service kusingekuwa na impact kubwa Sana kwenye upatikanaji wa umeme.
Kwa Hali ilivyo sasa hata umlete Malaika au Nani sijui awe MD wa Tanesco tutaendelea kupata mgao. Subiri masika Ije mabwawa yajae kuwe na umeme mwingi maisha yaendelee
Hawa watu ni wababaishaji, haiwezekani jambo kubwa hivyo usijue linaanza lini na kuisha lini.We bwana majibu yako Yana mashaka Mashaka pale tanesco wewe ni nani?
Alafu tatizo la umeme ni mitambo kuchakaa au kupungua kwa maji!?
Alipokabidhiwa wizara ndugu January alisema wanafanya service badae kidogo akasema service imekamilika hautakatika tena!
Mara anakuja rais anatoa miezi 6 umeme usikatike tena
Mara anakuja mkurugenzi mpya anatuambia mgawo utaisha mwezi wa 3
Naam mwaka 2017 fanya marejeo utaona Ulikuwepo tena mbaya kuliko wa sasa ila uhuru wa kuongea wazi haukuwepo. Kulikuwepo na mgao wa umeme na Habari!Hili ttz la mgao lilikuwepo enzi za Magufuli?
Sio kweli, ulikuwepo!mbona kipindi cha jpm umeme ulikuwa sio wa mgao
Jaribu kuandamana uone tutakung'oa hayo makalioJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Jaribu kuandamana uone tutakung'oa hayo makalio
Sio Mikoa yote Kuna mgao ,elewa hiloJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.