Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kaaa kwa kutulia jini maimuna na lisimu lako la teknoMimi nilidhani utapost matches zote za Yanga mnazolalamika anabebwa.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Unawalàumu mashabiki wa Simba wanaomkataa Saidoo kwamba ni Mbumbumbu kumbe wewe ndo Mwalimu wao?Nyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini tu.Ukinywa supu ukiingia kwenye 18 zao jini kakunyonya.
Sasa aliyosema Mayele hayatoishia humu, tunapeleka kwenye official page zote za vyama vya soka hapa duniani ikiwemo CAF na FIFA.
Mmeharibu sana brand ya mnyama nyie, ngoja na sisi tumwage mboga
HahaaaaaKaaa kwa kutulia jini maimuna na lisimu lako la tekno
Hadi kizazi cha 7 [emoji1787]Kumbe umbumbumbu nao unarithiwa kizazi kwa kizazi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
we ni mbumbumbuNyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini tu.Ukinywa supu ukiingia kwenye 18 zao jini kakunyonya.
Sasa aliyosema Mayele hayatoishia humu, tunapeleka kwenye official page zote za vyama vya soka hapa duniani ikiwemo CAF na FIFA.
Mmeharibu sana brand ya mnyama nyie, ngoja na sisi tumwage mboga
Leo umewakalia kooni hawa Majini Fc....
Wewe na Mayele mnaweza mkathibitisha kwa CAF juu ya uwepo wa hayo majini?Nyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini tu.Ukinywa supu ukiingia kwenye 18 zao jini kakunyonya.
Sasa aliyosema Mayele hayatoishia humu, tunapeleka kwenye official page zote za vyama vya soka hapa duniani ikiwemo CAF na FIFA.
Mmeharibu sana brand ya mnyama nyie, ngoja na sisi tumwage mboga
Umbumbumbu ni kama Albinism mkuu..Kumbe umbumbumbu nao unarithiwa kizazi kwa kizazi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app