Nakusudia kupost CAF na FIFA yote yaliyosemwa na Mayele kuhusu majini

Nakusudia kupost CAF na FIFA yote yaliyosemwa na Mayele kuhusu majini

Sasa ndio watafanya nini........kwamba watatuma wataalamu wa kuchunguza majini au....hii nchi ngumu sana
 
Nyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini tu.Ukinywa supu ukiingia kwenye 18 zao jini kakunyonya.

Sasa aliyosema Mayele hayatoishia humu, tunapeleka kwenye official page zote za vyama vya soka hapa duniani ikiwemo CAF na FIFA.

Mmeharibu sana brand ya mnyama nyie, ngoja na sisi tumwage mboga
Peleka haraka sana, unamtisha nani
 
Back
Top Bottom