ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Sasa ndio watafanya nini........kwamba watatuma wataalamu wa kuchunguza majini au....hii nchi ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka haraka sana, unamtisha naniNyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini tu.Ukinywa supu ukiingia kwenye 18 zao jini kakunyonya.
Sasa aliyosema Mayele hayatoishia humu, tunapeleka kwenye official page zote za vyama vya soka hapa duniani ikiwemo CAF na FIFA.
Mmeharibu sana brand ya mnyama nyie, ngoja na sisi tumwage mboga
Hanaga simile huyoo ni kushusha tuu thread...ahhahahahYaani nimeingia muda huu nakuta heading zote mwana anasomeka yeye.[emoji1787][emoji1787]
Wanatoa damu za kunywesha majini hao