Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wakuu
Leo jaman niko mbele yenu wana jf wenzagu nikiwa na furaha sana kwa kuumaliza mwaka ambao nauita ulikuwa mwaka wa shetan, mwaka wa 2019 ulikuwa katili sana juu yangu
Hivyo leo namshukuru baba wa mbinguni aliye juu kwa kunivusha salama mpaka leo nadunda tu but namuomba akanifanyie wepes ndan ya mwaka huu mpya
Hivyo leo naomba kumtakia kheri ya mwaka mpya rafiki yangu nimpendaye Farida
Ambaye kwa humu ndan ana cheo cha moderator
BUTOGWA SHIJA WEWE ENDELEA TU KUNILINGIA TUTASOMANA
Asanten sana nawakilisha
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app