Nakutakia Kheri ya Mwaka Mpya Moderator Farida

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu

Leo jaman niko mbele yenu wana jf wenzagu nikiwa na furaha sana kwa kuumaliza mwaka ambao nauita ulikuwa mwaka wa shetan, mwaka wa 2019 ulikuwa katili sana juu yangu

Hivyo leo namshukuru baba wa mbinguni aliye juu kwa kunivusha salama mpaka leo nadunda tu but namuomba akanifanyie wepes ndan ya mwaka huu mpya

Hivyo leo naomba kumtakia kheri ya mwaka mpya rafiki yangu nimpendaye Farida

Ambaye kwa humu ndan ana cheo cha moderator

BUTOGWA SHIJA WEWE ENDELEA TU KUNILINGIA TUTASOMANA

Asanten sana nawakilisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi bila kapicha ka mtoto Farida haunogi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom