Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

Ila nimekuja kugundua wanamuzik wengi hawa wa british wanakuwaga wamezubaa zubaa hadi wakienda U.S ndio hucharuka,

Mf. Ed sheraan, Passenger, Leona lewis, Adele, Zara na wengne wengne sijui ndio malezi
Exposure wanakuwa wana kosa ila mostly wanakuwa na kipaji
 
Back
Top Bottom