Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?

hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""

halafu kiranga anakuita ......
Kiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,

Mwisho wa siku nitamwambia twende tukatulie sehemu tule na kunywa tuangalie dunia inaendaje lkn sio kubishana nae..HUWEZI.
 
Wewe ndo umetaka kuniacha. Unanileteaje mwanamke mwingine kwa mfano?
 
Kiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,

Mwisho wa siku nitamwambia twende tukatulie sehemu tule na kunywa tuangalie dunia inaendaje lkn sio kubishana nae..HUWEZI.
hahaaaa
 
Si ajabu ww pia kunguru [emoji23][emoji28][emoji23]
Nakuona tuu[emoji20][emoji20][emoji20]
 
Kiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,

Mwisho wa siku nitamwambia twende tukatulie sehemu tule na kunywa tuangalie dunia inaendaje lkn sio kubishana nae..HUWEZI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
lol ..mmeanza kushindwana hpa hpa kwenye jukwaa ..hahaaa
vita ya panzi hii ..ngoja niwaite kunguru wakae Tayari !
Nimeshindwa shemeji. Mi nimeacha kila mtu kwa ajili yake halafu eti hapa anasema ana mke mwenzangu. Khaaah. Dharau hizi
 
Mademu wa humu wanapenda misifa! Akizungimziwa kidgo tu mishavu hayo!
 
Nyie endeleni kudanganyika na DP ya Mzigua90 mhisi ni binti mdogo kumbe ukute ni mbibi aliye staafu utumishi wa umma miaka 10 iliyopita[emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…