Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mi naingiaga naandika napita ndukiii najua mtu hakawii kukukera ukagombana naehahaha kaenda kuwatibua nn [emoji23][emoji28][emoji23]
Kweli kule uende na akili zoote na uvumilivu pia hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naingiaga naandika napita ndukiii najua mtu hakawii kukukera ukagombana naehahaha kaenda kuwatibua nn [emoji23][emoji28][emoji23]
Kweli kule uende na akili zoote na uvumilivu pia hahaha
Kiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,hahaa ngoja kwanza wakupindue kama lile bando la voda ndio utajua kuwa niraha au vipi !?
hizo hips utaishia kuzishika usingizini tu ""
halafu kiranga anakuita ......
Hahaaa pasua kichwa yule jamaa wa FBIafadhali umehoji ...mimi Mwenye nilikuwa nashangaa ...sema huyo mahone ana akili manina ...kwa mujibu wa series daahh
Alex Mahone kiboko yake alikua ni Scolfied tu hahahaafadhali umehoji ...mimi Mwenye nilikuwa nashangaa ...sema huyo mahone ana akili manina ...kwa mujibu wa series daahh
Wewe ndo umetaka kuniacha. Unanileteaje mwanamke mwingine kwa mfano?Asee kweli maisha si mchezo...yani unatoka kazin kabla hata hujakaa unaachwa na mamaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji45][emoji45][emoji45]
Naomba nitumie hata wimbo mmoja wa Adele bas unifariji usiku huu mm [emoji17][emoji17][emoji17][emoji124][emoji124][emoji124]
lol ..mmeanza kushindwana hpa hpa kwenye jukwaa ..hahaaahii ndio double standard ss [emoji30][emoji30]
Haya niache tu mama...[emoji124][emoji124][emoji17][emoji17]
nimekuletea wapi mm?Wewe ndo umetaka kuniacha. Unanileteaje mwanamke mwingine kwa mfano?
hahaaaaKiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,
Mwisho wa siku nitamwambia twende tukatulie sehemu tule na kunywa tuangalie dunia inaendaje lkn sio kubishana nae..HUWEZI.
hahaa scolfied kampeleka mchaka mchaka mpka akawa anadata ..ikabidi awe anameza pilss ..yuleee Jamaa sio mtu mzuriAlex Mahone kiboko yake alikua ni Scolfied tu hahaha
Sawa tuuu[emoji17][emoji17][emoji17]
AHAA HAAA ....USIKU MWEMA HAHAASi ajabu ww pia kunguru [emoji23][emoji28][emoji23]
Nakuona tuu[emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiranga nahisi atakua ndio yule jamaa nimekwambia pale, asee yule mm sijisumbuagi hata kulumbana nae kwa hoja,
Mwisho wa siku nitamwambia twende tukatulie sehemu tule na kunywa tuangalie dunia inaendaje lkn sio kubishana nae..HUWEZI.
Ooh come on!Sawa tuuu
Nimeshindwa shemeji. Mi nimeacha kila mtu kwa ajili yake halafu eti hapa anasema ana mke mwenzangu. Khaaah. Dharau hizilol ..mmeanza kushindwana hpa hpa kwenye jukwaa ..hahaaa
vita ya panzi hii ..ngoja niwaite kunguru wakae Tayari !
hahaha sio mchezoo, alikua akisikia jina la Scolfied anatetemekaahahaa scolfied kampeleka mchaka mchaka mpka akawa anadata ..ikabidi awe anameza pilss ..yuleee Jamaa sio mtu mzuri
yule Jamaa noma pasua aiseee nilikuwa c mpendi aiseee mtu gani mnoko mnoko kiasi kile ...Hahaaa pasua kichwa yule jamaa wa FBI