Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

Mzigua90 huyo MGanga wako usimuache yaani upo maeneo umelala na Mr Miller..huku kuna mtu mwingine anakuwaza ...

Mr Miller nilikwambia mimi kumiliki mademu wa Kali ni pressure ukapinga ..haya subiri ujipige kitanzi mkuu
Asee raha sana [emoji3][emoji3]
Lkn kuwaza sio dhambi chief...acha amuwaze tu ila atabaki kuwa wangu tu.
 
Back
Top Bottom