Nakutakia usiku mwema bint mrembo Mzigua90

yule Jamaa noma pasua aiseee nilikuwa c mpendi aiseee mtu gani mnoko mnoko kiasi kile ...
daaahhh akishachora michoro Yke na kuweka pictr kwenye clip board jueni kuwa mmekwisha
hahaha mm nilikua namuelewa sana asee, maana alikua anatumia akili nyingi nguvu kidogo japo kwa scolfied alikua anaelewa kinyume nyume [emoji1][emoji1][emoji1]

Scolfied mwenyewe alimuaApriciate jamaa kuona anaweza kutegua njia zake zote
 
Nimeshindwa shemeji. Mi nimeacha kila mtu kwa ajili yake halafu eti hapa anasema ana mke mwenzangu. Khaaah. Dharau hizi
acha masihara "" kasema what ...._!!?
kama ndio hvyo basiii kweli hkufai .na u Mario wote ule lkini bado anakuletea dharau ..aiseee
 
hahaha mm nilikua namuelewa sana asee, maana alikua anatumia akili nyingi nguvu kidogo japo kwa scolfied alikua anaelewa kinyume nyume [emoji1][emoji1][emoji1]

Scolfied mwenyewe alimuaApriciate jamaa kuona anaweza kutegua njia zake zote
hahaaa alikuja kumuheshimu scolfied walipokuja kukutana jela mexico pale ndio alipokuja kuona umuhimu wa yule genius ...daahhb akawa anamgasi kila siku ...Mr genius what r. we goin to do ....tunapaswa kutoroka hapa ..hahaa..manina kweli maisha hayana mwenyew ...adui kageuka rafiki
 
hahaha si alikua anajua uwezo wake alafu na vile scolfied alikua yupo busy basi akajua kabisa hapa huyu anataka kutoroka humu
 
Back
Top Bottom