Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida,

Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
 
Usiku unakua na utulivu mwingi na wakutosha ndio sababu unaweza ukafanya shughuli zako kwa umakini na ufanisi zaidi.
 
Utakuwa na vinasaba vya Vampires, Bundi, Popo na Wanyama wa aina hiyo walio active nyakati za usiku (Nocturnal).
 
Back
Top Bottom