sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Mar 7, 2024 #1 Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Mar 7, 2024 #2 sanalii said: Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate? Click to expand... Akili ni zile zile, sema unakuwa na ufanisi zaidi muda huo wa usiku...
sanalii said: Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate? Click to expand... Akili ni zile zile, sema unakuwa na ufanisi zaidi muda huo wa usiku...
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Mar 7, 2024 #3 we ni bundi
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Mar 7, 2024 #4 Usiku unakua na utulivu mwingi na wakutosha ndio sababu unaweza ukafanya shughuli zako kwa umakini na ufanisi zaidi.
Usiku unakua na utulivu mwingi na wakutosha ndio sababu unaweza ukafanya shughuli zako kwa umakini na ufanisi zaidi.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Mar 7, 2024 #5 sanalii said: Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate? Click to expand... We zombie au haujui🥴🥴🥴🥴
sanalii said: Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate? Click to expand... We zombie au haujui🥴🥴🥴🥴
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,083 Reaction score 5,179 Mar 8, 2024 #6 Lovelovie said: We zombie au haujui[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061] Click to expand... [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] Sent using Jamii Forums mobile app
Lovelovie said: We zombie au haujui[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061] Click to expand... [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] Sent using Jamii Forums mobile app
Changalucha JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 508 Reaction score 593 Mar 8, 2024 #7 Utakuwa na vinasaba vya Vampires, Bundi, Popo na Wanyama wa aina hiyo walio active nyakati za usiku (Nocturnal).
Utakuwa na vinasaba vya Vampires, Bundi, Popo na Wanyama wa aina hiyo walio active nyakati za usiku (Nocturnal).