Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Kulea watoto wa mwanaume mwenzio inatakiwa uwe na roho ngumu na ustahimilivu, mimi ni lishindwa.
Kulea mtoto ambaye si wako ni baraka sana ndugu yangu. Na wakati mwingine huwa ni mtihani ambao Mungu anakupitisha kuona imani yako. Jaribu kusoma Kitabu cha Nabii Hosea kwenye Biblia uone Mungu alivyompa mtihani kuhusiana na Watoto ambao sio wake na namna alivyofaulu.
 
Maswali mazuri ajabu!

Binadamu tuna tabia ya kujiona sisi ndiyo tumekamilika; na wengine ndiyo wenye madhaifu - hata kama sisi ndiyo tuna changamoto lukuki mgandamano!

Ndiyo maana kwenye masuala kama haya (na mengineyo) tunashauriwa sana kutopitisha hukumu kabla ya kusikiliza pande zote husika.

Hao wanaume wanaolalamikiwa hapa ukipata nafasi ya kuwasikiliza unaweza kuishia kushangaa sana.
 
Ushauri wako Leejay49 ni wa muhimu
 
Wanangu wanazidi kupata Mileage...
sasa watakuja na "Kataa Ndoa katakata"
 
Kumbe kuna nyingine
Yeah aliniambia nije kuna kitu cha kujifunza kwenye huu uzi, watu wameongea kwa hekima sana nimependa.. Asa kuna mwingine bado hajanitag
Hope unaendlea kupata miongozo kipenzi, Mungu akusimamie daima big ciccy 🥰☺️
 
Yeah aliniambia nije kuna kitu cha kujifunza kwenye huu uzi, watu wameongea kwa hekima sana nimependa.. Asa kuna mwingine bado hajanitag
Hope unaendlea kupata miongozo kipenzi, Mungu akusimamie daima big ciccy 🥰☺️
Barikiwa sana cute
 
Pamoja na yooote uloshauriwa, ushauri wangu Mimi nikiwa Kama dada mkubwa, hiyo ndoa isiwe long distance marriage....iwe pika pakua, mjifunike shuka moja.....sio we uko mbeya mume yupo Kagera utakuja unalia tena humu.
Maisha mafupi sana kuishi maisha ya matumaini, long distance relationships waachiwe teenagers, now unahitaji mtu wa kufanya nae maisha, muishi wote, umjue tabia zake nae akujue....

Itokee tu mume kasafiri kikazi Ila isiwe tena kuanzia mwanzo kila mtu na makazi yake.....
 
Asante sana mpenz
 
Halafu chukua wtt wako uwalee mwenyewe my dear..watt waone unavyofight kwa ajili yao..baadae hao ndio ndugu wako wa kweli watakusaidia..isije baadae wakasema sisi hatukulelewa na wazazi wetu na wote walikua hai..bond yako na wtt ni muhimu..mwanaume asikutenge na damu yako...
 
Sio unaogopa kuingia ndoani sema ushauzoea uzinzi nawashangaa wanadamu mnavyo sumbuka miyoyoni kana kwamba usipoolewa uwezi kufa au kuuwawa

just do it if you want, i know you want but the problem is your humanity

go for it yo not immortal
 
Watoto wawili uingie nao kwa ndoa, labda kama watalelewa na ndugu zako...

Kama utaweza kuwapeleka pengine ila sio uishi nao watakuwa kikwazo kwako tena katika ndoa mpya...

Ukitaka kumuona shetani live funga ndoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…