Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Tuanze na Iman Yako kwanza...coz kama mkristo ndoa ni Moja tuuu hata kama mmepeana talaka bado mnatambulika mtu mume na mtu mke!

Kama muislam ingia kwenye ndoa nyingine ambayo itakuwa na changamoto nyingi kuliko ya awali sabb ya hao watoto.
Sawa mkuu
 
Kabisa mkuu
 
Watoto wawili uingie nao kwa ndoa, labda kama watalelewa na ndugu zako...

Kama utaweza kuwapeleka pengine ila sio uishi nao watakuwa kikwazo kwako tena katika ndoa mpya...

Ukitaka kumuona shetani live funga ndoa...
Nimekuelewa cute,asante sana
 
Daaa,😭😭 Mwenyezi Mungu akubariki sana mom....Asante sana wangu
 
Single mother walivyo hawana soko halafu wewe unapata mume unamkataa.
 
Daaa,😭😭 Mwenyezi Mungu akubariki sana mom....Asante sana wangu
"God is not only the God of second chances; but the God of third and fourth and unlimited chances for His children who confess their faults and weaknesses, and come to Him for help". Make the most of this chance nkamu...
 
"God is not only the God of second chances; but the God of third and fourth and unlimited chances for His children who confess their faults and weaknesses, and come to Him for help". Make the most of this chance nkamu...
Ndagha Fijo ghwangu...kyala andule Papo indumbula jikali jikahobhokela😪
 
Ni Mhimu sana Kuisikiliza nafsi yako. Lkn pia mawasiliano na Mungu wako ni ya msingi sana.

Haijalishi unapoabudu, lkn kama unaye Mungu umwaminiye tenga muda wa Kufunga na Kuomba juu ya jambo hilo.

Mara nyingi Nafsi inapogoma kwenda popote ukailazimisha kitu kibaya hutokea.
Ni mhimu sana Kuisikiliza kwani Roho yako ndyo hupokea majibu kutoka kwa Mungu.
 
Umeongea vyema, kitendo cha huyu single mother kutokujibu maswali yako ya msingi, inaonesha kwa 70% yeye ndio alikuwa kipengele na kujivunjia ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Dah! Nahisi mpenzi wangu ni wa sample hii, hana uhakika kama anataka kuolewa au la
 
Mamaa magazeti. Unaandika gazeti refu halafu lote limejaa points za uhakika. Hiki ni kipaji,you should do something about it. Maybe an Instagram page of your own....called 'A PIECE OF ADVICE FROM HEAVEN SENT'
Think about it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…