Boy dad; this means a lot. Hakika; nitalifanyia kazi. Thank youππMamaa magazeti. Unaandika gazeti refu halafu lote limejaa points za uhakika. Hiki ni kipaji,you should do something about it. Maybe an Instagram page of your own....called 'A PIECE OF ADVICE FROM HEAVEN SENT'
Think about it.
Nkamu, angalia na usikilize moyo wako unasema nini juu ya hilo na mwisho wa siku wewe mwenyewe ndiye utakayekabiliana na matokeo yake kulingana na maamuzi yako na hakuna mwingine.Ndagha Fijo ghwangu...kyala andule Papo indumbula jikali jikahobhokelaπͺ
Ubarikiwe sana nkamu...nimeshafanya maamuzi aisee ππ½ππ½ππ½Nkamu, angalia na usikilize moyo wako unasema nini juu ya hilo na mwisho wa siku wewe mwenyewe ndiye utakayekabiliana na matokeo yake kulingana na maamuzi yako na hakuna mwingine.
Lingine nkamu, watoto uwe pamoja nao, wasiwe mbali nawe.
Narudia tena kukushauri, usifanye haraka kuhusu maamuzi yako, Mungu amekupa watoto hao ndio zawadi yako na uwalee kwa karibu sana.
Roho wa Mungu akuongoze katika hilo na isije ikawa katika hali ya kimwili.Ubarikiwe sana nkamu...nimeshafanya maamuzi aisee ππ½ππ½ππ½
Huu hapa Cc ephen_