Ewaaa
Drones kazini..Wapii wewe....
We acha ujinga..mbona intavyu zako huwa unafanyia public badala ya kwenda PM?..kama unataka kujua wasifu wa mtu kwann usiende PmKwa hiyo amfuate pm asingeweka hapa barazani![emoji23]
DJ sepetu
Eeeh...nimechoka kwaito harus nzima ni singeli !walah naweka kiatu mgongon hakianguki navyopenda singele jaman mie mbiti ! nawekaga kiatu mgongon baba utakesha ukisubiria kianguke hhha! namualika msaga sumu !'mwanaume machine'
Nishike mikono basiTulia bhanaa
Huelewi nini shogaa... Nasema yule tunaekesha tukimsubiri unamwachaje sasaaahahahahha sikuelew shoga !imagne naanza kuulizwa size za nguo leo masaa machache tu jaman ?? huku bwana kuna neema bwana
MmmmhDrones kazini..
Hahaaa muache maana sasa washakuwa kitu kimoja anaendana nao...Maua ktk avatar waachie wadada tukutofautishe vipi Na mbiti sasa[emoji23]
Mbiti huyu mtu wako vipi au...
DJ sepetu
Umeanza eeh?Mmmmh
SawaaaaNishike mikono basi
Anapenda kwaito si mchezobora nisaidie kumtuliza shem khaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa muache maana sasa washakuwa kitu kimoja anaendana nao...
Hakuna haja ya kufika mbali kote huko atapita hapa usagara to kisesaKabla hujafika Igoma jitahidi kufika buzuruga nikupe mbili tatu zinazo wahusu hao jamaa! Usije siku ukaja hapa mchozi unakutoka ukasema hatukukupa tahadhari.
Karibu na kwaheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ujue tabia yakoo siipendi... Nasikia unajiita ben ten....Umeanza eeh?
Amen
Acha uchonganish unauliza swali gan hiloKwa hiyo umemkubalia Huyu mkuu mleta uzi..?
Au mko pm bado?
Usijali babytrauza kiuno 34, asante jaman ! kweli OMBENI MTAPEWA!
Umeelewa kwann nimemshauri hivyo au umekurupuka usingizini Na kucomment rudi kulala usingizi ukuishe ndo uje[emoji23] [emoji23] nyambafuuu!We acha ujinga..mbona intavyu zako huwa unafanyia public badala ya kwenda PM?..kama unataka kujua wasifu wa mtu kwann usiende Pm