Lilekage nke wane lisaji leneloahahahahha uwiii matusi ya kisukuma huwa nacheka sana !hahha letumbafu sana legosha lenelo ! 'lifakile'
Lilekage nke wane lisaji leneloahahahahha uwiii matusi ya kisukuma huwa nacheka sana !hahha letumbafu sana legosha lenelo ! 'lifakile'
Utampitisheje kwenye maporomoko huko?Hakuna haja ya kufika mbali kote huko atapita hapa usagara to kisesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby asikuogopeshe huyo sisi ni wapole wakarimu nazan unatujuaunamaanisha tabia za watu wa geita wa kina nanyupu ? duh haya
Mkuu..
Hapo sawa mwanaume mashine fanya wimbo wa kuingilia ukumbini na wa kutokea kumkumbusha jamaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]nimechoka kwaito harus nzima ni singeli !walah naweka kiatu mgongon hakianguki navyopenda singele jaman mie mbiti ! nawekaga kiatu mgongon baba utakesha ukisubiria kianguke hhha! namualika msaga sumu !'mwanaume machine'
Mkuu..
Nimeshatoa baraka..!
Nasubiri kadi ya mchango na ya mwaliko tuu sasa..
Hapo sawa mwanaume mashine fanya wimbo wa kuingilia ukumbini na wa kutokea kumkumbusha jamaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Hahahaa nilikuwa sitakikuandika leo.
Unamuona kama anakausha nini!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby wangu naingia kanisan, lakin usibak mpweke masaa mawili sio meng saa sita tutakuwa wote mpenz, jichunge wabaya ni weng sana wasikudanganye mpenz wanguasante kwa baraka zako !
Eeeh...
Naona kama sitohudhuria sasa..! Singeli za nini sasa?
Baby wangu naingia kanisan, lakin usibak mpweke masaa mawili sio meng saa sita tutakuwa wote mpenz, jichunge wabaya ni weng sana wasikudanganye mpenz wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si kwa mavivu haohahhaha kwanza siku ya harus toka asbh utakuwa unapigwa huo !yaan mawifi wa zaman watanijua ! na mataarab ya kumwagaa
Haya ukiona nimechelewa utaNPM baby wangu byeeeeNIOMBEE BABY !haya asantee
Huelewi nini shogaa... Nasema yule tunaekesha tukimsubiri unamwachaje sasaaa
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si kwa mavivu hao
Huyo mama sianamume chapombe au tayari ameshabwaga manyanga.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako
Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake
Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza
Mwaaaaaaaaaa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app