Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

nimechoka kwaito harus nzima ni singeli !walah naweka kiatu mgongon hakianguki navyopenda singele jaman mie mbiti ! nawekaga kiatu mgongon baba utakesha ukisubiria kianguke hhha! namualika msaga sumu !'mwanaume machine'
Hapo sawa mwanaume mashine fanya wimbo wa kuingilia ukumbini na wa kutokea kumkumbusha jamaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako

Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake

Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza

Mwaaaaaaaaaa


LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mama sianamume chapombe au tayari ameshabwaga manyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom