Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Mi Shune jamani...nampendaa hata sijamuona

carnte himself
 
hahaha nakuona bado unapumua mkuu !tuendelee
Ila jina lako, daaah!!! Fisi mwekundu!!! Hivi nini kilikufanya ujiite hivyo!? Au unatoka "Bulima ya ndinga" kule kwa wachawi kabisa kuliko hata Gamboshi!

Sent from Moto G
 
jina la babu hilo nalipenda kufa
Ooh!! Itakuwa alikuwa mcheza ngoma enzi zake! Maana majina ya wacheza ngoma yote yalikuwa ya vichekesho tu. Babu yangu yeye alikuwa anajiita "MAGWA MMBELE" kama unajua maana yake utakuwa umeelewa!! BTW, hongera kwa kutupatia shemeji

Sent from Moto G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…