mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Hahahahaha mbavu zangu miehahahahha must ujob hundred aisee hahahah !kama anawakilisha coral paints
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha mbavu zangu miehahahahha must ujob hundred aisee hahahah !kama anawakilisha coral paints
Nani mkuuJust a piece of information saa Tisa Na kuendelea muosha rungu TV show itakuwa live Na mgeni wetu ni Mrembo matata Wa jf,
Inshallah!
DJ sepetu
Mbona ni acc fake yangu hiyo
Stay tunedJust stay turned!
DJ sepetu
ThanksStay tuned
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
poaThanks
DJ sepetu
We rusha ndoano kuonana mbinguni[emoji23] [emoji23] ukivuna mjusi maji siri yako!Mi Shune jamani...nampendaa hata sijamuona
carnte himself
Ila jina lako, daaah!!! Fisi mwekundu!!! Hivi nini kilikufanya ujiite hivyo!? Au unatoka "Bulima ya ndinga" kule kwa wachawi kabisa kuliko hata Gamboshi!hahaha nakuona bado unapumua mkuu !tuendelee
Ila jina lako, daaah!!! Fisi mwekundu!!! Hivi nini kilikufanya ujiite hivyo!? Au unatoka "Bulima ya ndinga" kule kwa wachawi kabisa kuliko hata Gamboshi!
Sent from Moto G
Ooh!! Itakuwa alikuwa mcheza ngoma enzi zake! Maana majina ya wacheza ngoma yote yalikuwa ya vichekesho tu. Babu yangu yeye alikuwa anajiita "MAGWA MMBELE" kama unajua maana yake utakuwa umeelewa!! BTW, hongera kwa kutupatia shemejijina la babu hilo nalipenda kufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha blablah! Kalipe school fees za watoto wawili kwanza!
Kisha toa gharama za binti kuchezwa your step daughter[emoji23]
Maua hata shuleni yapo!
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alihis nna mashauzi !nayaanzaje sasa wanaume mmekuwa adimu namna hii!hv nilikua na kampango ka kwenda 'love connect' nitafute bwana wa kunilea !sema kila nikienda nagongana na Behaviourist narud!mara Neybright anikutanize eissh nikawa nahis SOO
Wewe pampula wangu sio wa mchezo mchezo aiseeh, huwa anapeleka zawadi mara kibao mpaka wanajishtukia kupokea [emoji6],na hachoki kupelekaaiseee wee Neybright mumeo pampula amepeleka lini zawa kwa wakwe!hehehee lazima afe mtu hapa !njoo bby angu utanikuta MWANANGWA NAKUSUBIRIA