Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji1] [emoji38] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I can't...LOL!