Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Daaah, kumbe ki(masihara)² humu ndani unaweza ukajing'olea goma kibwereree kama una nawa, mchawi bando tu na confidence ya kufungUa uzi na kuruka nao kisamasoti. Ngoja ninywe puturuu namimi nijilipue japo kwa mkuu mmoja nijing'olee goma kimdebwedo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah fala ww et mchawi bando tu na confidence...Ila ni kweli man, watoto wapo humu sema wanajitiaga kukaza wanaoneana aibu yani!
 
Ha ha haaaa nilivyokupania, hiyo siku pampula wako atakushangaa maana utakuwa pampula kuliko yeye teh


hhahahha ! uwiii ! majuz niijhitoa ufaham nikaenda hotel nikakuta wanapiga miziki!kwakweli nikaweka shida chini nikanyanyua mikono juu ! nikasema jaman liwalo na liwe nimechoka ! weeeeeee mara paaaaaaap huyu hapa !jicho katoa hatar km katuni ya baba ubaya
 
Back
Top Bottom