Nakuzimikia sana MBITIYAZA

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chiz wewe sikuwezi. Anakupenda bana hataki aibiwe. We jiandae kabisa maana mi mgeni wewe mwenyeji.. unionyeshe jiji
 
njoo mama njoo!tuweke heshima mjini! njoo na beach wear!teh kule bwawan its a must
Aiiii jamani eti bwawani..
shoga nina hamu ya starehe zote za mjini, kuserebuka, kupampula na kila kitu. Mwenzio sikumbuki lini nimecheza mziki basi nikifanya majaribio mwenyewe najichekaaa maana viungo vimekaza hakuna kinachotingishika
 
Aiiii jamani eti bwawani..
shoga nina hamu ya starehe zote za mjini, kurerebuka, kupampula na kila kitu. Mwenzio sikumbuki lini nimecheza mziki basi nikifanya majaribio mwenyewe najichekaaa maana viungi vimekaza hakuna kinachotingishika



hahahahhahhahahhahhahhhaahahhhaah ! hebu usiniwashe kichwa yangu ! mie kila kitu namiss jaman !khaa! yaan ukiniona mjin bas nna wanangu !sina ME TIME TENA! mie siku nikifanikiwa kuingiza mguu wangu club maamaaaaa!hahaha juz nilidataaaa !cheza mby! hahaha yaan nilipata washikaj sema masikin ya Mungu wanahis nipo free!mwee bas wamenichek jana nikaishia kucheka tu !mwaya tutaenda ! hiv hawa waanume hawajui kuiwa na sie bado vijana tunahitaj kusocialize? nakwazika sana ! njoooooooooooooooooooo
 
Mkuu had uwe una nyota inayowaka kama yang vinginevyo utaambulia patupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sie bado vigori buanna, tule raha mwisho mwisho maana uzee haupo mbali.
Siku nazo hazisogei nakerekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…