Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chiz wewe sikuwezi. Anakupenda bana hataki aibiwe. We jiandae kabisa maana mi mgeni wewe mwenyeji.. unionyeshe jijihhahahha ! uwiii ! majuz niijhitoa ufaham nikaenda hotel nikakuta wanapiga miziki!kwakweli nikaweka shida chini nikanyanyua mikono juu ! nikasema jaman liwalo na liwe nimechoka ! weeeeeee mara paaaaaaap huyu hapa !jicho katoa hatar km katuni ya baba ubaya