Hapa nahitaji kujenga Alliance na wakongwe wengine kama mimi tuanze kwanza kufanya screening ya watoto wakali wenye kazi zao matata sio wale wanaoishi kwakutegemea biko nguvu ya buku....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweeeeh??? Hata wale wapenda vifua kaa roboti??hahahaha hao wapo na wameanza kujitambua !kitonga hakuna teeena! pambanaga tu sasa hv
Najua shemu maana had kuna midume inanitukana pm kisa baby wangu mbiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, pole sana asee!
Inabidi kukaza buti haswa, maana ndugu mdada mwenyewe sio wa mchezo atii..
Mama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pmlol! nan sasa hv anataka kifua tupu !
Ahahahaaaaaa mie bado nacheka mpaka sasahivi huyu mbiti sio mzima
Shikamoo muhenga! [emoji119] [emoji119] [emoji119]
marahabaaaa DOGO! mara paap salio tigopesa
cc nanyupu
Mie pesa kwanza, mapenzi baadae. Kodi silipi kwa mapenzi ati!sasa mwenzako nilikua hivi ! siombi/ siletewi kila siku masifa ya kijinga tu oh we ndo wife materials,blah blah kibao ! huon sasa navyohangaika shogangu ?? nilimshape hvyo huyu sasa hv napiga had ukunga pampula hata ajitose akuletee walau BRA !WAPIIIIIIIIIIIIIIIIII ! ndo nshaanza huku nyumba ndogo nisimlee km yule nyumba kubwa yangu !teh teh ! najua wewe wajitambua ! mie nilikua zwazwa dadek zangu
nasisitiza tena nanyupu
Sio wa mchezo nini shem bhanaHaha, pole sana asee!
Inabidi kukaza buti haswa, maana ndugu mdada mwenyewe sio wa mchezo atii..
Nakuona ushanza kuleta masantura yako hapa nitampiga stop asijibu coment zako we endeleaMama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pm
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha!, naona umeshaanza ni mwendo wa CC tu huna haja ya kuumiza kichwa hata kama zipo..[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhah ! le modern ahahha !unaniletea maviatu ya kilugulu mie haah yanang'aa alafu ngoz lainii ukae juani unalooo ! teh teh sitaki !lol!
Hahahahaha baby bhana et watoto wabichhahahaa kwakweli ! kisa cha kupauka na watoto wabichi ndo hawa kina nanyupu !!!!!!!!