Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Hapa nahitaji kujenga Alliance na wakongwe wengine kama mimi tuanze kwanza kufanya screening ya watoto wakali wenye kazi zao matata sio wale wanaoishi kwakutegemea biko nguvu ya buku....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lol! nan sasa hv anataka kifua tupu !
Nakuona nakuonaaaa.....
images
 
lol! nan sasa hv anataka kifua tupu !
Mama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mwenzako nilikua hivi ! siombi/ siletewi kila siku masifa ya kijinga tu oh we ndo wife materials,blah blah kibao ! huon sasa navyohangaika shogangu ?? nilimshape hvyo huyu sasa hv napiga had ukunga pampula hata ajitose akuletee walau BRA !WAPIIIIIIIIIIIIIIIIII ! ndo nshaanza huku nyumba ndogo nisimlee km yule nyumba kubwa yangu !teh teh ! najua wewe wajitambua ! mie nilikua zwazwa dadek zangu

nasisitiza tena nanyupu
Mie pesa kwanza, mapenzi baadae. Kodi silipi kwa mapenzi ati!
 
Mama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona ushanza kuleta masantura yako hapa nitampiga stop asijibu coment zako we endelea

Cc baby mbitiyaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom