Ugali na wali sawa lakin sio babby Wang alivyo mzur hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kizuri kula na nduguzoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila kona unataka ukabe wewe tu. Kula ale nanyupu akila lucchese ooh mlafi. Sasa nasemaje, leo,ndio utajua chenga ya magufuli lowasa hakabi..... watch n' learn son!!!
Hahahaaa shemu usiwe na was was mtoto nitamutunza kuliko maelezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemela ayasome tu kwa kweli!
Hatutaki uwe na mabaka miguuni shosti..[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeielewa nanimeifatilia sana .toka jamaa anatoa yamoyoni kabla hata ww hujaja kuweka wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu watoto humu ni weng sana tafuta mmoja utume maombi huyo ni Wang muache kama alivyoMkuu kila kona unataka ukabe wewe tu. Kula ale nanyupu akila lucchese ooh mlafi. Sasa nasemaje, leo,ndio utajua chenga ya magufuli lowasa hakabi..... watch n' learn son!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nikutongeze wewe siyo? Achana na mimi tafuta mwanaume mwingine wa kumuzoeakasema hataki mazoea na majitu ya CCM
Mkuu, mpira pasi ila inaonekana pasi zako mashuti......Hahahaha mkuu watoto humu ni weng sana tafuta mmoja utume maombi huyo ni Wang muache kama alivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ni kama mnacheza safa bwege halafu mwenzio anakupa bonge la pas linakugonga kwenye ugoko mpira unarudi kwa anayesafa anaugusa kilaaini halafu wewe ndio unaingia kibindoni kusafa.Hahahaha mkuu watoto humu ni weng sana tafuta mmoja utume maombi huyo ni Wang muache kama alivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma ya kitambo ya steve rnb hakuifanyiaga vid nimetoa link YouTube, play usikie ujumbe wake
Mama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo Ohoo nimekusoma mkuuHiyo ngoma ya kitambo ya steve rnb hakuifanyiaga vid nimetoa link YouTube, play usikie ujumbe wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, the fingerless lucchese.,ofcoz I know abt the man, aliwahi kua mmoja wa viongozi wa Lucchese family, among five families walidominate organized crime in NY city. Alizaliwa maeneo ya Palermo Sicily Italy akiitwa Gaetano Lucchese (sijui moja ya mzazi wake ana asili ya kiganda?) Kwa wazazi baba aitwae Baldassarre na mama yake aliitwa Francesca na alifariki maeneo ya Lido beach NY kwa.kuugua brain tumor na akazikwa maeneo ya Calvary Cemetery, Queens, NY. Alifahamika pia kwa majina mengine kama vile Tommy Brown, na Tommy Three-Finger Brown.nimecheka sana !salute! unaelewa maana ya jina lako mkuu ? ni nn!
nimecheka sana !salute! unaelewa maana ya jina lako mkuu ? ni nn!
Hahah, the fingerless lucchese.,ofcoz I know abt the man, aliwahi kua mmoja wa viongozi wa Lucchese family, among five families walidominate organized crime in NY city. Alizaliwa maeneo ya Palermo Sicily Italy akiitwa Gaetano Lucchese (sijui moja ya mzazi wake ana asili ya kiganda?) Kwa wazazi baba aitwae Baldassarre na mama yake aliitwa Francesca na alifariki maeneo ya Lido beach NY kwa.kuugua brain tumor na akazikwa maeneo ya Calvary Cemetery, Queens, NY. Alifahamika pia kwa majina mengine kama vile Tommy Brown, na Tommy Three-Finger Brown.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, the fingerless lucchese.,ofcoz I know abt the man, aliwahi kua mmoja wa viongozi wa Lucchese family, among five families walidominate organized crime in NY city. Alizaliwa maeneo ya Palermo Sicily Italy akiitwa Gaetano Lucchese (sijui moja ya mzazi wake ana asili ya kiganda?) Kwa wazazi baba aitwae Baldassarre na mama yake aliitwa Francesca na alifariki maeneo ya Lido beach NY kwa.kuugua brain tumor na akazikwa maeneo ya Calvary Cemetery, Queens, NY. Alifahamika pia kwa majina mengine kama vile Tommy Brown, na Tommy Three-Finger Brown.
Sent using Jamii Forums mobile app