Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nimeielewa nanimeifatilia sana .toka jamaa anatoa yamoyoni kabla hata ww hujaja kuweka wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

yes ! bas imekuwa hv no bora mtutunze sio kuimbishana tu true love uinashindwa mjali mwenzakio!ukimjal penzio ngu sana kushawishika !labda awe na damu tayari ya mambo fulan ! ndo nikasema ukinikuta nashine na ww nishainishe ili nisimtaman bilgert(huyu amekuwa km mtan wangu haachi kunimention everywhr lol) so simtaman as u thnk ! mie 92% huwa napenda utani !
 
Mama mi ndio gendaheka asili, na nina uwezo mazingaombwe ya kubadili matokeo muda wowote yaani. Waswahili wanasema sometimes it takes some tiny things to get noticed by someone. Yaan slowly naanza kuku hypnotize na my silly comments n next thing you know woote ushawapiga chini unalia kwenye pm

Sent using Jamii Forums mobile app

nimecheka sana !salute! unaelewa maana ya jina lako mkuu ? ni nn!
 
Hahah, the fingerless lucchese.,ofcoz I know abt the man, aliwahi kua mmoja wa viongozi wa Lucchese family, among five families walidominate organized crime in NY city. Alizaliwa maeneo ya Palermo Sicily Italy akiitwa Gaetano Lucchese (sijui moja ya mzazi wake ana asili ya kiganda?) Kwa wazazi baba aitwae Baldassarre na mama yake aliitwa Francesca na alifariki maeneo ya Lido beach NY kwa.kuugua brain tumor na akazikwa maeneo ya Calvary Cemetery, Queens, NY. Alifahamika pia kwa majina mengine kama vile Tommy Brown, na Tommy Three-Finger Brown.

sawa !upo sahihi
 
Back
Top Bottom